Tahadhari ya Kuwepo Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa
Global Publishers August 28, 2016 0 Comments
SHARE THIS:
TAHADHARI: Upepo mkali na mawimbi makubwa vinatarajiwa katika maeneo ya ukanda wa Ziwa Victoria na yale ya Pwani kuanzia kesho Jumatatu Agosti 29 alfajiri hadi Agosti 30 mchana. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imeeleza.