×

Video: Mufti Zuberi Atoa Maagizo Kwa Masheikh


MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi leo Aprili 28, 2021 amewataka Masheikh wote nchini pamoja na wananchi kufanya ibada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuondosha Kimbunga Jobo kilichozua Taharuki kwa wananchi.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment