The House of Favourite Newspapers

Mama wa Mangwea awa Kivutio Fiesta Moro

belle-9

belle-9

Mwanamuziki staa wa Bongo Fleva, Belle 9,  akifanya yake stejini wakati  wa shoo za Fiesta 2016 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro  usiku wa kuamkia leo. 

img_1580

Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo hiyo.

mama-ngwea

Mama yake Ngwea, Neema Albert,  akiongea jambo na mashabiki (hawapo pichani).

img_1546

Mashabiki wakimsikiliza mama yake  Ngwea.

stamina

Staa wa muziki wa Hip Hop  Bongo, Stamina a.k.a Shorwebwenz,  akifanya yake.

ben-pol Mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol,  akiimba na mashabiki wimbo wa Moyo Mashine.ben-pol

…Akiendelea kuimba na mashabiki.

blue byser

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Kheri Sameer ‘Mr Blue’,  akiwapa raha mashabiki wa Fiesta.

chege

Chegge akitoa burudani.

christian-bella

Mkali wa ‘masauti’,  Christian Bella,  akifanya yake.

darasa

Msanii wa Bongo Flava Rap na Hip Hop,  Darassa,  akitambulisha ngoma yake mpya inayoitwa Too Much kwa wakazi wa Morogoro.

dully

Staa wa Bongo Fleva, Dully Sykes,  akifanya yake.

nandy

Nandy akiongea na mashabiki wake.

maua

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama,  akionyesha umahiri wake wa kulishambulia jukwaaa la Fiesta

sholo-mwamba

Shalo Mwamba akifanya yake.

 

 

Comments are closed.