Hizi Ndizo Shule Zilizofanya Udanganyifu Kwenye Mtihani wa Darasa la 7
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk. Charles Msonde akitangaza matokeo ya Kumaliza Elimu ya Msingi 2016, mapema leo.
… Msonde akionyesha baadhi ya nguo za wanafunzi zilizokamatwa katika kipindi cha mitihani zikiwa zimeandikwa majibu ya mitihani hiyo.
…Akionyesha kaptula ya mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Tumaini iliyopo Wilaya ya Sengerema yenye majibu ya maswali ya mtihani wa Darasa la Saba iliyokamatwa.
… Akionyesha karatasi ya mfano wa majibu inayoonyesha baadhi ya wanafunzi yenye ufanano wa aina moja katika shule.
Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Comments are closed.