The House of Favourite Newspapers

Leo ni Birthday ya Aunty Ezekiel

cvwkipoxyaagwwk

Leo Oktoba 27 ndiyo tarehe aliyozaliwa staa wa Bongo Movies Aunty Ezekiel aka Mama Cookie. Mastaa mbalimbali wa Bongo kupitia akaunti zao za Instagram wamemtakia heri katika siku yake ya leo huku na yeye akitupia ujumbe huu; 

Happy more dan Miaka Yote Niliyowahi Kusheherekea Siku Yngu ya Kuzaliwa thanx Baba Cookie wang kwa kabintspecial.... kisha kuweka picha hii.

 

A photo posted by Aunty Ezekiel (@auntyezekiel) on

 

Naye mume wa staa huyo kutoka WCB, Moses Iyobo ameandika ujumbe huu; Happy birthday Mama cookie wangu mungu akutunze mke wangu…..Nakupenda leo kesho na milele….. ukiambatana na picha hii.

 

A photo posted by @moseiyobo on

Wengine waliomtakia heri Aunty ni pamoja na shosti wake wa siku nyingi Madam Wema Sepetu aliyetupia mapicha kibao katika akaunti yake ya Instagram zikiwemo hizi;

 

Happy birthday to this Gorgeous human Being…. @auntyezekiel

A photo posted by 0+ (@wemasepetu) on

 

 

Okay…. i think imetosha na mapicha picha na hapo bado ninazo nyingine kama Mia… Tusisahau kwenye simu ya Tiake pia zipo… Maana tungeamua kuweka zote tungekesha…. We come a long way my love… Na kila siku tumekuwa tukikorofishwa na maneno ya huku na kule… Mi na wewe hakuna wa kutuingilia, Nadhani ndo tunachosemaga kila siku… I miss you, And I know u miss me too… Nakupenda everyday… Maneno Kitu simple, kajisemea Chafu pozi…😂😂😂 But wat matters is the heart… Na ndani ya moyo wangu jua kwamba nakupenda sana…. No matter wat… You know Better… On this special day nataka nikwambie, maybe Sometimes watu wanatuweza kweli kweli na inaweza tokea tuka kechi wote na tununiane na tusisemeshane, BUT You will forever have a special place in my Heart Tiake…. Navyokupenda ni vile vile kama nilivyokuwa nakupenda juzi na jana… Nothing has changed…. Happy Birthday my love… My Best friend…. Usikechi basi ukaanza kulia maana nakujua….😂😂… Love you alot… And this comes from ndani kabisa ya moyo wangu…. @auntyezekiel ….❤️️

A photo posted by 0+ (@wemasepetu) on

Mtandao huu unamtakia kila la kheri katika siku yake ya kuzaliwa.

Comments are closed.