Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakimsikiza kwa makini Bw. Robert Mwaisambo Mkazi wa Morogoro, alipofika kununua simu katika gulio la Smart phone liliondandaliwa na kampuni hiyo katika viwanja vya sabasaba,Mkoani humo mwishoni mwa wiki.
Wakala wa Vodacom Tanzania,Abdalla Magala akimfafanulia jambo Alen Anatory Mkazi wa Morogoro, kuhusiana na simu aliyonunua katika gulio la Smart phone liliondandaliwa na kampuni hiyo na kufanyika katika viwanja vya sabasaba,Mkoani humo mwishoni mwa wiki.