×

Video ya Magoli Yote: Barcelona Alivyochezea Kichapo cha 3-1 Kutoka kwa Man City

man-city-and-barcelona-1Messi akijaribu kujikunjua shuti.man-city-and-barcelona-2Man City wakishangilia bao.man-city-and-barcelona-3De Bruyne (No 17) akiifungia Manchester City dakika ya 51, baada ya kupiga free-kick.man-city-and-barcelona-4 man-city-and-barcelona-5

Suarez (kushoto), Messi (kati) na Neymar wakishangilia goli alilofunga Messi.man-city-and-barcelona-6  Neymar wa Barca akifanya yake.man-city-and-barcelona-8

Sterling akijiangusha kwenye penalty box baada ya kuguswa na beki wa Barca, Samuel Umtiti.

man-city-and-barcelona-7

Refa Viktor Kassai akimpiga kadi ya njano, Sterling.

Ligi ya Klabu Bingwa Barani Ulaya iliendelea tena usiku wa kuamkia leo, ambapo kulikuwa na jumla ya michezo minane.

Manchester City wakiwa nyumbani walilipa kisasi dhidi ya Barcelona kwa kuichakaza magoli 3-1.

Washika Bunduki wa Jiji la London, Arsenal waliendelea kudhihirisha ubabe wao mbele ya Ludogorets Razgrad ya Bulgaria kwa ushindi wa 3-2.

Atletico Madrid wakiwa nyumbani waliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya FC Rostov.

Bayern Munich ikaifunga PSV Eindhoven 2-1.

MATCH FACTS 

MANCHESTER CITY (4-2-3-1): Caballero 6; Zabaleta 6.5, Stones 7, Otamendi 5.5, Kolarov 6; Fernandinho 7 (Fernando 60, 6), Gundogan 8; Silva 7.5, Sterling 7.5 (Navas 71, 7), De Bruyne 8.5 (Nolito 89); Aguero 7.

Subs not used: Kompany, Clichy, Gunn, Iheanacho.

Booked: Kolarov, Sterling.

Scorers: Gundogan 39, 74, De Bruyne 51.

Manager: Pep Guardiola 7.  

BARCELONA (4-3-3): Ter Stegen 5.5; Digne 5.5, Mascherano 6.5, Umtiti 5.5, Roberto 5; Rakitic 6 (Turan 61, 6), Sergio 6, Gomes 7 (Rafinha 76, 6); Neymar 7.5, L Suarez 6, Messi 7.

Subs not used: D Suarez, Cillessen, Alcacer, Borges, Marlon.

Booked: Rakitic, Sergio, Neymar.

Scorer: Messi 21.

Manager: Luis Enrique 6.

Referee: Viktor Kassai (Hungary). 

Ratings by Joe Bernstein

Matokeo mengine

Basel 1-2 Paris Saint Germain

Besiktas 1-1 SSC Napoli

Benfica1-0 Dynamo Kyiv

Bourussia Moenchengladbach 1-1 Celtic

Manchester City 3-1 Barcelona

man-city-and-barcelona-9

MAGOLI YOTE YA MAN CITY NA BARCA