Vurugu Zilivyotanda Kati ya Machinga Vs Mgambo Moro!
Global Publishers November 4, 2016
SHARE THIS:
Eneo la Soko Kuu la Morogoro ambapo baada ya kuvunjwa kwa lengo la kumpisha makandarasi kujenga soko la Kisasa ya ghoroga baadhi ya wamachinga waliendelea kupanga bidhaa zao eneo hilo la soko kando kando ya barabara ya Madaraka