The House of Favourite Newspapers

Video ya Magoli: Africans Lyon Ilivyovunja Rekodi za Simba SC

African Lyon imekuwa timu ya kwanza kuifunga Simba SC tangu kuanza kwa ligi kuu Tanzania bara msimu huu wa 2016/17.

Bao pekee la Abdulla Msuhi lililoifanya Simba kuangusha pointi tatu kwa mara ya kwanza msimu huu wakati raundi ya kwanza ikielekea ukingoni.

Dondoo

  • Simba imeruhusu goli kwa mara ya kwanza tangu iliporuhusu goli mara ya mwisho kwenye mchezo dhidi ya Yanga October Mosi.
  • Lyon imeshinda mechi ya pili katika mechi zake saba za hivi karibuni. Ushindi mwingine ulikuwa dhidi ya Mbeya City (22/10/2016 African Lyon 2-0 Mbeya City), katika mechi 7 zilizopita, imepoteza mechi tatu (12/10/2016 Mwadui 2-0 African Lyon, 19/10/2016 African Lyon 0-2 Majimaji, 02/11/2016 Ruvu Shooting 1-0 African Lyon) na kutoka sare katika mechi mbili (15/10/2016 Stand United 1-1 African Lyon, African Lyon 1-1 Tanzania Prisons).

African Lyon vs Simba head to head

  • African Lyon imeshinda kwa mara ya kwanza dhidi ya Simba katika mechi 7 za ligi walizokutana, mechi 6 zilizopita Simba ilishinda zote.

06/11/16 African Lyon 1-0 Simba

26/01/13 African Lyon 1-3 Simba

15/09/12 Simba 3-0 African Lyon

31/03/12 African Lyon 0-2 Simba

16/10/11 Simba 4-0 African Lyon

03/02/11 African Lyon 0-3 Simba

21/08/10 Simba 2-0 Lyon

Comments are closed.