The House of Favourite Newspapers

ALBUM YA INDOGO YAMKUTANISHA CHIRS BROWN NA DRAKE

Mwanamuziki wa marekani Chris Brown ametoa orodha ya majina ya wasanii ambao atawashirikisha kwenye Album yake mpya inayokuja ‘’INDIGO’’ ambayo inatarajia kutoka mwezi Juni, mwaka huu.


Kwenye hii orodha usishangae kukutana na majina ya wasanii wakubwa kama Justin Bieber ,G-Eazy, Nick Minaj, Tory Lanez, Tyga, Lil Jon, H.E.R, Lil Wayne lakini kubwa zaidi ni pale jina Drake lilipoonekana kwenye iyo orodha na kufanya mashabiki wake kua na hamu kubwa kusikia kolabo hiyo baada ya kumaliza bifu lao la muda mrefu hii huenda ikawa ni albumu bora mwakaa huu 2019 kwa Chris Brown.

Comments are closed.