Bamba Tanzania Kero Zinaendelea

RIPOTI kutoka mtaani inasema kuwa huduma ya Miito Bomba kutoka Bamba Tanzania imekuwa ikishika kasi na mashabiki mbalimbali wamekuwa wakijiunga na huduma hiyo.

 

Mashabiki hao ni wa Simba na Yanga ambao wameshtukia mchongo wa matani na tambo za kishabiki kuwa haziishi kwenye vijiwe vya kahawa na vibanda umiza pekee bali hadi kwenye simu ya mkononi.

 

Watumiaji wa mtandao wa Tigo pekee ndiyo wenye nafasi ya kupata huduma hii, wakibonyeza *148*53*2# wanapelekwa moja kwa moja kwenye Menu yenyewe.

 

Huko watakutana na miito ya Simba na Yanga ambayo imesheheni tambo, utani, kero na kila ainaya vituko. Kisha mteja atachagua muito wa timu yake kati ya Simba au Yanga na utakuwa unasikika kwa kila mtu atakayempigia.

 

Kitachofuata ni kero kwa mpigaji ambaye atakuwa haipendi timu ambayo anayempigia anaishabikia. Huduma hii ni kwa buku tu mwezi mzima na ndani ya saa 24 baada ya kujiunga utakuwa umepata muito wako.

 

Kuwa miongoni mwa watanzania ambao wanafurahia huduma hii nchini, epuka kuhadithiwa. Tembelea Instagram, Facebook na Twitter kwa maelezo zaidi jinsi ya kujiunga na huduma hii au piga 0676972972.

Na Issa Liponda2180
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment