The House of Favourite Newspapers

ads

Basi la Kampuni ya Kapricon Lapinduka nje Kidogo ya Mji wa Morogoro

0

Mzimu wa ajali za barabarani unaendelea ambapo habari zilizotufikia hivi punde kwenye chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa basi la Kampuni ya Kapricon limepinduka nje kidogo ya Mji wa Morogoro mapema asubuhi ya leo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, basi hilo lilikuwa linafanya safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza.

Kwa updates zaidi endelea kufuatilia Global TV kwani taarifa kamili zitakujia.

KIFO MFANYAKAZI MGODINI – MBUNGE WAITARA ATOA WITO kwa POLISI na FAMILIA……

Leave A Reply