KUFUATIA mkasa wa hivi karibuni wa binti Zai Mkiwa, mkazi wa Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam, ambaye alifariki dunia saa chache baada ya kufunga ndoa, Global TV Online imefanya mahojiano ya moja kwa moja na mume wa marehemu (bwana harusi) na mama yake ambao wote wamefunguka mazito kuhusu mkasa huo.
Fuatilia LIVE mahojiano hayo wakisimulia mkasa mzima ulivyotokea kupitia YouTube channel ya Global TV Online.