BREAKING: NYONI ASANI MIAKA MIWILI KUENDELEA SIMBA

Beki wa Simba SC Erasto Nyoni ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Taarifa iliyotolewa na Simba imeeleza kuwa Nyoni kama ilivyo kwa mshambuliaji wao John Bocco na golikipa Aishi Manula, walisaini kabla ya kuelekea Cairo kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Africa (Afcon).


Loading...

Toa comment