×

Global TV Online

LUGOLA Amkomalia LISSU – “Rudi Nyumbani, Dereva Yuko Wapi?” – VIDEO

Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, leo akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha amemtaka Mbunge wa...

READ MORE

INAUMA: Producer wa GODZILLA Aeleza “Kaacha Album” – VIDEO

Prodyuza wa Marehemu Godzilla, anayefahamika kwa jina la KB Amezungumza na Global TV Akiwa msibani nyumbani kwa marehemu maeneo ya...

READ MORE

KUTOKA MSIBANI – “Godzilla Alinifukuza Sitamsahau” – VIDEO

Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kuhusiana na Tasnia ya Bongo Fleva kupata pigo baada kuondokewa na Rapa maarufu nchini, Godzilla...

READ MORE

MWIGULU HOI KITANDANI: “NIOMBEENI TU, NAUMIA KIUNONI” – VIDEO

Mbunge wa Iramba Magharibi MWIGULU NCHEMBA amenusurika kufa katika ajali iliyotokea eneo la Migori Mkoani Iringa Wakati akiwa Safarini kuelekea...

READ MORE

TUZO ZA SZIFF 2019… Filamu za Globa TV Zapasua

LAZIMA kieleweke! Unaweza sema hivyo kwa lugha nyepesi baada ya kufunguliwa kwa mara nyingine pazia la kupiga kura kwa Tuzo...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 12: Tamko la Mkuu wa Majeshi Kuhusu Mauaji Njombe – VIDEO

Mkuu wa Majeshi Nchini CDF Venance Mabeyo amewataka watanzania kuwa watulivu katika kipindi hiki ambapo Vyombo vya usalama vinafanya uchunguzi...

READ MORE

Mazishi ya Kijana Aliyepigwa Risasi na Polisi, Vilio Vyatawala! – VIDEO

Mwili wa Kijana Richard Peter Lombo (29) anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa Risasi na Askari Polisi ndani ya Kituo cha Polisi...

READ MORE

Waziri wa Madini Alivyozindua Bodi ya STAMICO – VIDEO

Waziri wa Madini, Dotto Biteko, leo Februari 12, amezindua bodi ya wakurugenzi ya shirika la madini la Taifa. 

READ MORE

MPAKA HOME: Maisha Halisi ya Mtoto Mai Zumo na Wazazi Wake – VIDEO

Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumemtembelea Muigizaji wa vichekesho ambaye ana trend sana kwa sasa Uncle Zumo ambaye...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 10: Makamu Rais Atoa Maagizo Mazito Kikao cha Kamati – VIDEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema vikao vya masuala ya Muungano vinapaswa...

READ MORE

MATUKIO DUNIANI: WAUGUZI WAGOMA KENYA – VIDEO

Wauguzi nchini Kenya wametoka katika vituo vya vya kufanyia kazi na kuaacha wagonjwa mahospitalini. Mgomo huo umetokana kudai kuongezewa malupulupu...

READ MORE

SIMULIZI YA KUSISIMUA: TAA YA AJABU (SEHEMU YA 11) – VIDEO

Hii ni Sehemu ya Kumi ya Hadithi ya Simulizi Hii ya ‘TAA YA AJABU’ ambayo imeandaliwa na Mfalme wa watunzi...

READ MORE

Amber Rutty – “Vanessa Namshirikisha Kwenye Nyimbo Inayofata” – VIDEO

Mwanamuziki asiyeishiwa vituko kila kukicha Amber Rutty na mumewe Davil wamepiga stori na Global TV na kuzungumzia mikakati yao kimuziki...

READ MORE

VIDEO: AL AHLY Watua Bongo Kibabe/Wazima Figisu Kiaina

 KIKOSI cha Al Ahly kimetua usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 09: Tamko la Naibu Waziri Masauni kwa Wananchi – VIDEO

Serikali imewataka watanzania kuwa na Umoja bila kujali tofauti ya imani, kabila au itikadi yoyote ili kulinda amani na utulivu...

READ MORE

MAISHA YA Kichuya Misri Sasa Amekua wa Kimataifa – VIDEO

MAISHA ya winga kipenzi cha mashabiki wa Simba, Shiza Kichuya yanakwenda kubadilika kwa kiasi kikubwa. Alianza mwaka akiumiza kichwa kujua...

READ MORE

Mbunge Aliyehama Adai Chadema Waliratibu Mpango wa Lissu Kupigwa Risasi – Video

MBUNGE wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel amesema tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 jijini Dodoma...

READ MORE

KASHESHE ZA RC MWANRI ZINAENDELEA “NAWACHOTA JUMLA JUMLA” – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ameendelea na kampeni yake ya kukomesha mama wajawazito na watoto wenye umri chini...

READ MORE

“LISSU Ni Shemeji Yangu Arudi Tumsaidie Kulia, Anataka URAIS” – WAITARA

MBUNGE wa Ukonga, Mwita Waitara, amemwambia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, arudi nyumbani ili haki yake iweze kutendeka kwani...

READ MORE

MUSUKUMA Amvaa Tena LISSU “Anacheza Sinema Tu” -VIDEO

MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’ ameipongeza serikali kwa kuzindua Mahakama inayotembea ambayo imezinduliwa na Rais Magufuli siku chache...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 08: Sakata la Mauaji Singida, ACT Wataka Uchunguzi Ufanyike! – VIDEO

Chama cha ACT Wazalendo kimedai kusikitishwa na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoani Singida kuhusu uchunguzi wa Tukio la mauaji...

READ MORE

SIMULIZI YA KUSISIMUA: TAA YA AJABU (SEHEMU YA KUMI) – VIDEO

Hii ni Sehemu ya Kumi ya Hadithi ya Simulizi Hii ya ‘TAA YA AJABU’ ambayo imeandaliwa na Mfalme wa watunzi...

READ MORE

BREAKING: SUMAYE Augua GHAFLA, Akimbizwa Hospitali, CHADEMA Wafunguka! – VIDEO

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ameumwa ghafla akiwa Mkoani Tanga kwenye shughuli za Chama chake cha CHADEMA ambapo yeye ni...

READ MORE

Sakata la Kijana Aliyeuawa kanisani, ACT Waicharukia Polisi! – VIDEO

Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoani Singida kuhusu uchunguzi wa Tukio la mauaji linalodaiwa...

READ MORE

“Makonda na Standard Gauge / Akili Fupi Tu / Magufuli Mhm” – DUDU BAYA -VIDEO

Msanii wa Bongo Fleva, Dudu Baya, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Paul Makonda, kwa kuandaa ziara iiliyowashirikisha...

READ MORE

Mbunge Aliyetimua ‘MBIO’ Alivyosimama Tena Bungeni “Kuna Hatari” – VIDEO

Mbunge wa Muleba, Dkt Charles Mwijage, ambaye hivi majuzi amegeuka gumzo mitandaoni baada ya kusambaa kwa picha yake ikimuonesha akitimua...

READ MORE

SPOTI HAUSI: SIMBA Yawatemea Ubingwa YANGA – VIDEO

LIGI Kuu Tanzania inaendelea le, lakini rasmi ni kwamba Simba wakishinda michezo yao yote watakaa kileleni kwenye ligi, wachambuzi wako...

READ MORE

Balozi wa Tanzania – Marekani Akanusha Tuhuma za Lissu Dhidi ya Serikali – VIDEO

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi jana usiku walihojiwa katika kipindi...

READ MORE

LUGOLA AMVAA LISSU “Umekimbia kesi Tukusaidiaje?” – VIDEO

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, ametolea ufafanuzi kuhusiana na sababu zinazosababisha baadhi ya kesi kutoendelea na kuchelewa kusikilizwa....

READ MORE

Exclusive: Poshy Acharuka “Msinifananishe na Sanchi, Anafanya Nini mjini” -VIDEO

Mrembo ambaye anaendelea kutikisa na shepu yake mjini Jacqueline Obed maarufu kama Poshy Queen, amefunguka mbele ya Global TV kuhusu...

READ MORE

BARUA NZITO: JIDE, Umejiangusha Mwishoni Mwa MARATHON!

Mwanamuziki wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura A.K.A Lady Jaydee hivi karibuni alizua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

RC Gambo Amkabidhi DC Muro Vitambulisho “Itakula Kwako” – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Mashaka Gambo, amemkabidhi Mkuu wa wilaya ya Meru Jerry Muro Vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo...

READ MORE

Polisi Mwanza ‘Walivyoua’ Majambazi Usiku wa Manane – VIDEO

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limefanikiwa kuwauwa majambazi watatu waliokuwa na silaha ya moto katika maeneo ya Nyakabungo kata...

READ MORE