×

Global TV Online

Mchambuzi Aonya: CHADEMA Kukosa Mwelekeo Endapo Mpasuko Hautashughulikiwa – Video

Giza bado limetanda ndani ya CHADEMA; mpasuko uko wazi, lakini hatma ya chama haiko wazi. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa...

READ MORE

Polisi Wakamata Watano Kuhusishwa na Mauaji ya Mwenyekiti wa Kijiji Bubale

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea na uchunguzi wa mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti Mstaafu wa Kijiji cha Bubale, Kata...

READ MORE

Zaylissa Awachana Ma-Ex Wake Kuvujisha Sauti Za Manara – Video

Exclusive interview na mwanadada Zaylissa tayari ipo Global TV, Youtube akielezea mambo kibao ikiwemo sakata la kudaiwa kuvujisha voice note...

READ MORE

Mfalme Zumaridi Akamatwa Na Polisi, Aliwaambia Watoto ‘Yeye Ni Mungu’ Anaweza Kuwatenganisha Na Kifo – Video

Jeshi la Polisi jijini Mwanza limetoa taarifa kuwa linamshikilia Mfalme Zumaridi kwa tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

READ MORE

Mbowe na Wafuasi wake Kuhamia Chaumma? ‘Mzee wa Ubwabwa’ Afunguka Mazito – Video

Kumekuwepo na madai yanayosambaa mitandaoni kwamba Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kinatumika kukidhoofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)....

READ MORE

Waziri Jafo Awasha Moto Bungeni, Amkosoa Mpina kwa Kukosoa Kila Jambo – vIDEO

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, ameibuka kwa hoja baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kutoa shutuma...

READ MORE

Ali Choki Afichua Siri Ya Urafiki Wake Na Omari Seseme – Video

Kiwanda cha muziki wa Dansi Tanzania kimepata pigo la kuondokewa na miongoni mwa magwiji wa muziki huo Omary Seseme. Seseme...

READ MORE

Rais Samia Akishiriki Mazishi Ya Makamu Wa Kwanza Wa Rais Na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Msuya – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mai 13, 2025 ameongoza Watanzania kwenye maziko ya...

READ MORE

Sikia Wasifu Wa Charles Hillary Wawagusa Wengi, Ameacha Mjane – Video

Sikiliza maneno mazito ya Askofu Jackson Sosthenes aliyeongoza ibada ya mazishi ya marehemu Charles Hilary katika Kanisa la Anglican, Ubungo...

READ MORE

Mwili Hayati Cleopa David Msuya ulivyowasili Mwanga, Kilimanjaro leo

Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mstaafu), Hayati Cleopa...

READ MORE

Mama wa Miaka 61 Anusurika Shambulio la Ubakaji na Kujeruhiwa Vibaya, Babati – Video

Mama mmoja mwenye umri wa miaka 61, mkazi wa Kijiji cha Gedamara, wilayani Babati, mkoani Manyara, amedai kuvamiwa na kujeruhiwa...

READ MORE

Msikilize Mrisho Gambo akijibu mashambulizi jukwaani – Video

Msikilize Mrisho Gambo akijibu mashambulizi jukwaani na kueleza kuwa aliamua kufunika kombe lakini amechokozwa! Gambo ameyasema hayo kwenye mkutano wa...

READ MORE

Mvumbuzi wa Alama za Watu Wenye Ulemavu Aomba Serikali Imsaidie – Video

Mzee Jutoram Kabatele ni Mtanzania aliyebuni alama za barabarani za kuwalinda watu wenye ulemavu. Global TV imefika nyumbani kwake na...

READ MORE

Rais Samia Kuongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya Jumapili – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan keshokutwa Jumapili anatarajiwa kuwaongoza Watanzania, kuaga kitaifa mwili wa...

READ MORE

Live Updates: Uchaguzi wa Papa Mpya Waingia Siku ya Pili Baada ya Kura ya Kwanza Kushindikana

VATICAN CITY — Makardinali wa Kanisa Katoliki wameingia siku ya pili ya mchakato wa kumchagua Papa mpya baada ya kura...

READ MORE

Utabiri umetimia, Sekretarieti ya Mbowe yameguka Chadema

Katika kipindi ambacho Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu, chama kikuu cha upinzani nchini, Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Shigongo Aongoza Waombolezaji Kumuaga Kasango Mwizalubi, Buchosa- Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki mazishi ya Kasango Mwizalubi aliyekuwa Balozi wa CCM katika Kijiji cha Itabagumba, Buchosa wilayani...

READ MORE

Sekretarieti ya Mbowe Yajiondoa Chadema, Wafunguka Mazito – Video

Dar es Salaam — Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Benson Kigaila, ametangaza kujiondoa...

READ MORE

Mbunge Shigongo Apongeza Walimu, Asema Wanafanya Kazi ya Kipekee – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema kazi inayofanywa na walimu ni kubwa na kwamba hakuna mshahara unaoweza kutosha kuwalipa hapa...

READ MORE

Samia Kalamu Awards: Waandishi Wapongezwa kwa Kuelimisha Umma Kuhusu Nishati Safi (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza waandaaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards kutokana na tuzo hizo kuangazia pia eneo la...

READ MORE

Waziri Gwajima Atinga Kwa Mbwembwe Tuzo Za Samia Kalam – Video

Waziri Doroth Gwajima akiwasili Super Dome, Masaki inakofanyika event ya utoaji tuzo kwa waandishi wa habari za Samia Kalamu Awards....

READ MORE

Hamisa Mobetto Atoa Ushauri Mzito Kwa Paula Akitaka Kuolewa – Video

Msikilize mwanadada Hamisa Mobetto akitoa ushauri kuhusu ndoa kwa Marioo na Paula ambao hapo jana walikuwa wakiadhimisha mwaka mmoja tangu...

READ MORE

Mbunge Shigongo: Baada Ya Miaka 15 Tanzania Itakuwa Nchi Bora Afrika Mashariki

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema bado Buchosa anayoitaka haijatimia licha ya mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi chake cha miaka...

READ MORE

Lugumi Amtaka Marioo Kukamilisha Suala La Ndoa Haraka Sana – Video

Bilionea Saidi Lugumi ni miongoni mwa watu waliohudhuria birthday ya mtoto wa @marioo_tz na Paula ambapo alitambulishwa kama mjomba wa...

READ MORE

Chalamila Azungumzia Shambulio la Padri Kitima, Awatetea Polisi – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa Watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Shigongo Atangaza Dira ya Viwanda na Utalii, Akemea Kero ya Maji – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha...

READ MORE

Buchosa Imeitika, Maandamano Ya Kuzipongeza Kazi Za Rais Samia – Video

Tazama nyomi la wananchi wa Buchosa wakiwa na mbunge wao, Eric Shigongo katika Kata ya Nyehunge, ambako amezungumza nao na...

READ MORE

Serikali Yaongeza Kima Cha Chini Cha Mshahara Kwa Watumishi Wa Umma Kwa Asilimia 35 – Video

Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahra kwa watumishi wa umma kutoka shilingi 370,000 hadi shilingi 500,000, likiwa ni ongezeko...

READ MORE

Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani...

READ MORE

Shigongo: Tupo Tayari Kupambana Na Yeyote Atakayejaribu Kupotosha Maendeleo Ya Buchosa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema hawatamvumilia mtu yeyote ambaye anapotosha kuhusu maendeleo yaliyopatikana chini ya serikali ya Rais Samia...

READ MORE

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Shigongo Anashirikiana Vyema na Rais Samia Kuleta Maendeleo Buchosa – Video

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ally Kawaida amesema Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo anamsaidia Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha...

READ MORE

Mapya! Sakata La Mwijaku Na Wanafunzi Wa Chuo, Penzi La Diamond Na Zuchu -Video

Imelda Mtema, mtangazaji wa Global TV, ni miongoni mwa waandishi wa habari ambao wamedumu kwenye urafiki na mastaa wa tasnia...

READ MORE

Wizara ya Katiba na Sheria Yakamilisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria Katika Mikoa 25 – Video

Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dkt. Damas Ndumbaro, ameeleza kuwa wizara yake inaendelea na uratibu na utekelezaji wa...

READ MORE

Mwananchi wa Buchosa Atibiwa Baada ya Miaka 8 Kupitia Msaada wa Mbunge – Video

Sikiliza ushuhuda wa Mbanguji Paul kutoka Buchosa, ambaye kwa takribani miaka 8 aliteseka na tatizo la jicho. Kupitia msaada wa...

READ MORE

Makonda Ahidi Kuchukua Hatua Kali kwa Viongozi Wazembe Arusha – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema atampiga ‘spana’ kila kiongozi anayezembea jijini Arusha mpaka kazi aliyotumwa ikamilike. Makonda...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atunuku Nishani Ya Muungano Na Kuzindua Kitabu Cha Mwalimu Nyerere (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunuku Nishani ya Muungano na Kuzindua Kitabu cha Mwalimu...

READ MORE

Mazishi ya Papa Francis Kufanyika Leo Vatican kwa Heshima Kubwa – Video

Ibada ya mazishi ya Papa Francis inafanyika leo Jumamosi katika Uwanja wa Mtakatifu Petro mjini Vatican, ambapo mamia kwa maelfu...

READ MORE

Rais Samia: Falsafa ya 4R Si Kisingizio cha Kuvunja Sheria – Video

Akihutubia Taifa, Rais Samia Suluhu amesema Kamwe falsafa ya 4R haiwezi kuwa kisingizio cha kuvunja Sheria au cha kujenga mazingira...

READ MORE

Rais Dkt Samia Ahutubia Taifa Kuelekea Miaka 61 Ya Muungano – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.. Samia Suluhu Hassan Akihutubia Taifa Kuelekea Miaka 61 ya Muungano Ikulu Chamwino-Dodoma,...

READ MORE

Mwanachuo Auawa kwa Kuchomwa Visu na Ex-Wake, Mama Yake Afunguka – Video

Mwanachuo wa mwaka wa pili katika Chuo cha Ustawi wa Jamii, Elizabeth Maguha ameuawa kwa kuchomwa visu na mtu anayedaiwa...

READ MORE