×

Global TV Online

Mbunge Aida Kenani Aitaka Serikali Kusikiliza Wadau wa Uchaguzi – Video

Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Aida Kenani, amemuuliza Waziri Mkuu iwapo Serikali...

READ MORE

Jeshi la Polisi Simiyu Lamfikisha Mahakamani Binti kwa Kudai ni Askari JWTZ – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani binti aliyejitambulisha kwa jina la Pendo Paul Elikana (19), mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Mchengerwa Ataja Madudu Ya Gambo ”Posho Alichukua Na Kikao Hakushiriki” – Video

Msikilize Waziri Mchengerwa akiwasilisha maelezo bungeni kukanusha tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo kuhusu madai ya ufisadi jijini...

READ MORE

Mchengerwa Avunja Ukimya Tuhuma Za Mrisho Gambo – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa Aprili 22, 2025 amejibu tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge Mrisho Gambo wa Arusha...

READ MORE

Mama wa Kizungu Amlilia Rais Samia Adai Kunyanyaswa Kesi Yakwama Polisi Miezi 6 Bila Hatua- Video

Muwekezaji kutoka Ulaya, Siriviea Vrascam, amefichua hali ya kusikitisha aliyoipitia baada ya kudai kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia na mwanaume aliyejitambulisha...

READ MORE

Mtoto Miaka 3 Wa Askari Magereza Afariki Dunia Kwa Kusombwa Na Maji Mtoni – Video

Mtoto wa kiume, Samiu Salim, mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, amefariki dunia baada ya kuzama kwenye maji ya...

READ MORE

Live: Kinachoendelea Muda Huu Msibani Kwa Carina, Vilio

Wasanii na watu mbalimbali, wamefika kwenye msiba wa Carina, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Mvumi jijini Dar es Salaam. Eshe Buheti...

READ MORE

Aliyeshuhudia Akimuuguza marehemu Carina India Afunguka – Video

Kaka wa hiyari wa marehemu Carina ambaye ndiye aliyesafiri naye hadi nchini India, amefunguka kuanzia jinsi alivyokutana na Carina mpaka...

READ MORE

Mwili wa Carina ulivyowasili kwenye Uwanja wa Ndege Dar – Video

Mwili wa Carina ulivyowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, ukitokea India. Video...

READ MORE

Mrisho Gambo Aibua Tuhuma Nzito Bungeni, Spika Tulia Aaingilia Kati – Video

Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, ameeleza kuwepo kwa dalili za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa jengo la...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Aongoza Mazishi ya Mkurugenzi wa TANESCO – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko aongoza Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme...

READ MORE

Mwili wa Mwigizaji Caren ‘Carina’ Kuwasili Nchini Aprili 18 – Video

Familia ya marehemu Carina, imeeleza kuwa mwili wa ndugu yao aliyefariki dunia nchini India akiwa anapatiwa matibabu, unatarajiwa kuletwa nchini...

READ MORE

Kifo Cha Majembe Chazua Taharuki, Familia Yakataa Mazishi – Video

Familia ya kijana Raphael Majembe ya Tabata Shule jijini Dar es Salaam, imegoma kuchukua mwili wa kijana wao mochwari kwa...

READ MORE

Oparesheni ya TAWA Yaua Fisi 43 Itilima, Bariadi na Maswa

Katika kupambana na wanyama waharibifu hasa fisi ndani ya Mkoa wa Simiyu Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA), katika...

READ MORE

Maskini Carina! Aongea Kwa Uchungu ”Nina Kidonda Kibichi Tumboni Kinauma” – Video

Mwanadada Caroline Hawa almaarufu carina kutoka tasnia ya filamu nchini, yupo India alikoenda kwa ajili ya matibabu ya tumbo lililomtesa...

READ MORE

Richard Manyota: Kuna Watu Wanataka Kuivuruga Chadema – Video

Mchambuzi wa masuala ya siasa kutoka Global TV Online, Richard Manyota, amesema hali ya sintofahamu inayoendelea ndani ya Chama cha...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Awasilisha Bajeti Ya Ofisi Ya Waziri Mkuu Na Bunge – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025,...

READ MORE

Kumbuka Ampa Makavu Niffer “Jishikilie Kila Sehemu Upo” – Video

Mtangazaji na staa wa mitandaoni, Dokta Kumbuka amesema siku mwanadada mfanyanyabiashara, Niffer alipomtuma bodaboda kwenda kununua gauni kwa Fahyma kabla...

READ MORE

Shigongo: Serikali ya Rais Samia imeleta mabadiliko makubwa Buchosa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeleta mabadiliko...

READ MORE

Rais Samia Alivyozindua majengo ya Mahakama ya Tanzania Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 5, 2025 amezindua rasmi majengo ya Mahakama ya...

READ MORE

Video: Vilio Vyaibuka Baada Ya Majibu Ya DNA Ya Mama Aliyedai Kubadilishiwa Mtoto

Sakata la mwanamke Neema Kilugala, kudai kubadilishiwa mtoto na kupewa aliyefariki dunia baada ya kujifungua, limechukua sura mpya baada ya...

READ MORE

Shuhuda: Dereva Alikuwa Akwepa Gari ya Msiba, Ajali ya Basi Kilimanjaro – Video

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limetoa taarifa ya chanzo cha ajali ya Basi la kampuni ya Mvungi lililokuwa likitokea Ugweno...

READ MORE

Watu Saba Wafariki, 32 Wajeruhiwa Baada ya Basi Kupinduka Mwanga – Video

Watu Saba wamefariki dunia papo hapo huku wengine 32 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mvungi, walilokuwa wakisafiria kupinduka...

READ MORE

Dereva Wa Lori La Mafuta Amuibia Bosi Wake Akidanganya Amepata Ajali -Video

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia dereva aliyefahamika kwa jina la Ernest Okulo (40), mkazi wa Chanika, Dar es Salaam...

READ MORE

Video: Familia ya Mzee Flavian Yaomba Rais Samia Kuwasaidia kurejeshewa ardhi yao Mbezi Beach, Dar

Familia ya Mzee Flavian Nyendikuu imemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati na...

READ MORE

Kisa ‘Miss Calls 10’ Ampa Talaka Mkewe Na Kumdai Pesa Zote Alizompa – Video

Mwanamama Shakira Arsenal, mkazi wa Upanga, Dar es Salaam, anaomba msaada wa hali na mali ili kuikomboa nyumba aliyonunua kwa...

READ MORE

Rais Samia Akishiriki Baraza la Eid El-Fitr Ukumbi wa JNICC Dar (Picha +Video)

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Baraza la Eid El-Fitr Ukumbi wa JNICC...

READ MORE

Dereva Aliyesababisha Ajali Iliyomuua OCD Awadh Akamatwa ”Alikimbilia Mbeya Kujificha”- Video

Jeshi la Polisi limemkamata Elia Asule Mbugi almaarufu Dogo Bata, Mnyakyusa, mwenye umri wa miaka 25, mkazi wa Segerea, dereva...

READ MORE

Video: Mauaji Ya Kutisha! Kijana Apasuliwa Kichwa Na Mume Wa Mtu Kisa Kumfungulia Geti Mke

Yapo baadhi ya matukio yanayouma mno moyo na kuacha majeraha yasiyopona. Vuta picha kijana wako yupo nje na wenzake, wewe...

READ MORE

Leyla Akutana Na Baba’ake Baada Ya Miaka 3, Atokwa Machozi – Video

Leyla Shabani Mrosa (23), binti aliyepata ufaulu mkubwa na kufadhiliwa kusoma nchini India lakini baadaye kukatisha masomo kutokana na ugonjwa,...

READ MORE

Shekhe Kandauma: Ni Haramu Kwa Mwanaume Kumnunulia Abaya Mwanamke Ambaye Hajamuoa – Video

Kupitia kipindi cha Mapito, Shekhe Kandauma ameeleza kuwa ni haramu kwa mwanaume kumnunulia Abaya mwanamke ambaye hajamuoa. Video kamili ipo...

READ MORE

CAG: TRC Yapata Hasara ya Tsh bilioni 224, TTCL hasara ya Tsh bilioni 27.78 – Video

 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dkt. Charles Kichere, leo Machi 27, 2025 akiwasilisha ripoti kuu...

READ MORE

Jenerali Mabele: Tukitangaza Nafasi JKT Jitokezeni, Acheni Kufoji Vyeti – Video

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele ametoa wito kwa watu wote wanaoghushi vyeti vya mafunzo ya...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Na Walinzi Wakamatwa Wakidaiwa Kumuua Mwanafunzi – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule...

READ MORE

Sheikh Kandauma Awaonya Wanaofanya Mchezo Makka – Video

Sheikh Ahmed Kandauma amekemea tabia ya baadhi ya watu wanaoenda kwenye miji mitakatifu ya Makka na Madina na kufanya michezo...

READ MORE

Video: Mfanyabiashara Adakwa Akidaiwa Kutapeli Kwenye Upatu na Vikoba

Wananchi mbalimbali Machi 24, 2025  wamefika katika Kituo cha Polisi Mbweni ambako mwanadada aitwaye Tumaini almaarufu Hope Brand anashikiliwa kwa...

READ MORE

Video: Mjane Wa Hamis Aangua Kilio; Aliaga Asubuhi Anaenda Kazini, Amerudi Maiti

Mjane wa Kijana Khamisi Mwalimu Matimbwa (25), mkazi wa Temeke, Kata ya Tandika jijini Dar es Salaam, aliyefariki dunia hapo...

READ MORE

Video: Shigongo Awataka vijana Kufanya Kazi, Acheni Kunywa Pombe Hovyo

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amewataka vijana wa Buchosa kufanya kazi kwa bidii ili kujipatia maendeleo, huku akiwaasa kuachana na...

READ MORE

Maskini Rama! Ana Miaka 17, Tazama Alivyo Aomba Kusadiwa – Video

Ama kweli kabla haujafa, haujaumbika! huyu ni Ramadhan, kijana mwenye umri wa miaka 17, ambaye kutokana na tatizo lake la...

READ MORE

Kiongozi Wa Hamas Auawa Na Shambulio La Anga La Israel – Video

Shambulizi la anga la Israel katika mji wa kusini wa Khan Younis huko Gaza limeua kiongozi mkuu wa chama cha...

READ MORE