×

Habari

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amjulia hali Sumaye

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya...

READ MORE

Watu 331 wafariki dunia mkoani Mbeya kwa ajali za barabarani 2015

Jumla ya watu 331 wamepoteza maisha kutokana na ajali za barabarani mkoani Mbeya katika kipindi cha mwaka 2015 ikiwa ni...

READ MORE

Watu 10 Wauawa Kwa Bomu Istanbul, Uturuki

Miili ya marehemu ikiwa chini baada ya shambulio hilo lililotokea mapema leo huko Istanbul, Uturuki.Jeshi la Polisi wakiimarisha ulinzi.Mji wa Istanbul...

READ MORE

Polisi wa Usalama Barabarani, Vodacom Watoa Elimu Kwa Madereva

Msaidizi Mkaguzi Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Wilaya ya Mtwara (DTO) Ahmed Mutabuzi (wapili toka kushoto) akiwakiwaelimisha madereva...

READ MORE

CUF yakataa kurudia uchaguzi Zanzibar (Picha + Video)

VIDEO Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamadi (Cuf), akisoma taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani) katika mkutano...

READ MORE

Hospitali ya Tumbi Yanufaika na Msaada wa Vodacom Foundation

Madaktari na Wafanyakazi wa Shirika la Elimu Kibaha, Mkoa wa Pwani wakiwa kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya kuwasaidia...

READ MORE

Rais Magufuli Amfariji Mama Maria Nyerere Kwa Kufiwa na Mkwewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Mama Maria Nyerere kufatia kufiwa na Mkwe...

READ MORE

Wizara Ya Afya Yatoa Tathimini Kuhusu Ugonjwa Wa Kipindupindu

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamis Kigwangala (kushoto) akisoma ripoti hiyo mbele ya...

READ MORE

Kesi ya Kiwia Kupinga Matokeo ya Uchaguzii Ilemela Yafutwa

Hyness Kiwia Agrey Laban ambae ni Katibu wa Highness Kiwia akizungumza na Wanahabari nje ya Mahakama. Mutabanzi Julius Lugaziya ambae...

READ MORE

JK ampongeza Samatta kwa Tuzo ya Afrika

Nahodha Mpya wa Taifa Stars na mshambuliaji wa TP Mazembe ya Congo, Mbwana Ally Samatta akimuonesha Rais Mstaafu wa Awamu...

READ MORE

Daktari Amtwanga Ngumi Mgonjwa na Kumuua

Daktari akimpiga ngumi mgonjwa huyo. Moscow, Urusi Kanda ya video ya CCTV imesambaa mitandaoni ikimuonesha daktari mmoja aliyefahamika kwa jina...

READ MORE

Rais Magufuli amjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye Muhimbili

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya...

READ MORE

Tanzia: Leticia Nyerere afariki dunia

Leticia Nyerere enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere...

READ MORE

Serikali yasitisha safari za Meli ya Mv Serengeti kwa muda

Serikali imelazimika kusitisha safari za meli ya Mv Serengeti kwa muda wa siku tatu ili kupisha hatua ya matengenezo kutokana...

READ MORE

Mahakama Kuu Yazuia Kubomolewa Nyumba ya Mama Lwakatare

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia nyumba anayoishi Mchungaji wa Kanisa  la  Assemblies of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare kubomolewa....

READ MORE

Mrema Asimamishwa Kazi kwa Urasimu

AMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  OFISI YA RAIS Anuani ya Simu: “TAMISEMI” Simu Na: (026) 2322848, 2321607 2322853, 2322420 Nukushi: (026) 2322116,...

READ MORE

Jumuiya Za Kiislamu Zanzibar Zapinga Uchaguzi Kurudiwa

TAMKO LA JUMUIYA YA MAIMAMU ZANZIBAR (JUMAZA) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA KIISLAM ZANZIBAR KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MGOGORO...

READ MORE

Simba Avamia Kijiji… Awaua Baba na Mtoto

Simba huyo baada ya kuuawa. Mnyama Simba amevamia Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsimbo Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi...

READ MORE

MV Serengeti yapata hitilafu, yachelewa kufika Bukoba

Meli ya MV Serengeti leo imekwama kufika Bukoba kutokana na kupata hitilafu katika propera zake, na inadaiwa kuwa ilipita eneo...

READ MORE

Lwakatare ateuliwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu Mabasi ya DRT

Mabasi yendayo haraka Dar.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene....

READ MORE

Mwigulu amfukuza kazi mkuu wa mnada wa mifugo wa Pugu

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na viongozi wa machinjio ya Vingunguti – Dar mara baada...

READ MORE

Somalia yapiga marufuku Krismasi

Wapiganaji wa Kundi la Al Shabaab. Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi katika mji mkuu...

READ MORE

KADCO yaokoa zaidi ya bilioni 2 Uwanja wa Ndege wa KIA ndani ya wiki 1

Kaimu Mkurugenzi wa KADCO ,Bakari Murusuri |(Katikati) kushoto kwake ni mkurugenzi wa shughuli mama za kiwanja na huduma KADCO,Christopher  Mukoma...

READ MORE

Kliniki ya afya ya mapenzi Mwanza yaungua moto

Moto mkali ukiunguza Ofisi za Kliniki ya afya ya mapenzi iliyopo jijini Mwanza leo. Ofisi hizo zikizidi kuungua kwa moto....

READ MORE

Frank Lampard afunga ndoa London

Frank Lampard akimbusu mke wake Christine Bleakley baada ya kufunga ndoa jana Jumapili London. Christine Bleakley akiwapungia mkono marafiki zake...

READ MORE

Ndege ya Ufaransa yatua kwa dharura Mombasa kuhofia bomu

Ndege kubwa ya abiria, Boeing 777 AF463, mali ya Shirika la Ndege la Ufaransa (Air France) ikiwa katika uwanja wa...

READ MORE

Ajali ya basi yaua 12 na kujeruhi 22 Iringa

Taswira kutoka eneo la ajali. WATU 12 wamepoteza maisha huku wengine 28 wakijeruhiwa leo baada ya basi la New Force...

READ MORE

Mwili wa Dotto Mzava wa JF wasafirishwa kwenda Same kwa mazishi

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Jamii Forum, Dotto Mzava likishushwa kwenye gari maalum mara baada ya...

READ MORE

Wateja wa NMB sasa kupata mikopo ndani ya siku nne

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji...

READ MORE

Nyumba zilizopo kwenye Bonde la Mkwajuni, Dar zabomolewa

Bomoabomoa katika Bonde la Mkwajuni, Dar leo. Wakazi waishio katika Bonde la Mkwajuni leo wamebomolewa nyumba zao ikiwa ni mwendelezo wa...

READ MORE

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Dk. Hosea

Dk. Edward Hosea. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia...

READ MORE

Wasanii wakongwe wa filamu wamtaka Mwakifwamba  aendelee  kuwa rais wao

Kutoka kushoto ni wasanii wakongwe wa kuigiza, Ramadhan Mrisho ‘Mashaka’, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’ na Salome Sokoni ‘Mama Abdul’. Msanii...

READ MORE

Meli ya MV Royal yawaka moto Bahari ya Hindi

Vikosi vya uokoaji vikizima mato uliozuka katika Meli ya MV Royal leo. Abiria wakitolewa katika Meli ya MV Royal na kuwekwa...

READ MORE

Mwanafunzi UDSM auawa kwa risasi

Mwanafunzi wa UDSM, Mutaengerwa Mafwiri enzi za uhai wake. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mutaengerwa Mafwiri...

READ MORE

RED Selfie

Kila wiki washindi wawili wanajishindia #SamsungJ2 kupitia @Opera na @VodacomTanzania  #REDSelfie  

READ MORE

Majambazi wajeruhi, waiba pesa na kutimua

Damu zikiwa zimetapaa eneo la tukio. Na Nyemo Chilongani / GPL WATU wanaokisiwa kuwa ni majambazi wamewavamia watu wanne waliokuwa...

READ MORE