×


Hadithi

Mfu Aliyerudiwa na Uhai-2

  ILIPOISHIA WIKIENDA Wakati tunataka kuagana alitia mkono mfukoni akatoa bupa la noti, akahesabu shilingi elfu hamsini akanipa. “Chukua hii itakusaidia kwa usafiri.” “Asante,” nikamwambia…

SOMA ZAIDI

Mfu Aliyerudiwa na Uhai -01

Naitwa Esma Mabruki, lakini watu wangu wa karibu walinikatisha na kuniita Esy. Mpaka leo Esy ndilo limekuwa maarufu.   Ni mzaliwa wa Dar es Salaam. Nilizaliwa…

SOMA ZAIDI

Michirizi Ya Damu – 17

Aliendelea kumwambia rubani yule ashushe ndege kwa kiasi fulani ili aweze kuruka. Baada ya kubembelezwa sana hatimaye rubani huyo akaishusha ndege hiyo kwa umbali wa…

SOMA ZAIDISEVEN DAYS IN HELL (Siku Saba Kuzimu)- 58

ILIPOISHIA: “Yule kule aliyekuwa ananguruma kama mnyama ni nani?” Firyaal aliuliza swali, nikawaona wenzake wote wakitingisha vichwa, kuunga mkono swali hilo. “Ni stori ndefu kidogo,…

SOMA ZAIDI

SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU)- 57

ILIPOISHIA: “Jamal! Jamal! Amka, kuna tatizo,” sauti ya Junaitha ndiyo iliyonizindua kutoka kwenye usingizi fofofo, nikakurupuka nikiwa na shauku kubwa ya kutaka kujua kumetokea nini…

SOMA ZAIDISEVEN DAYS IN HELL (Siku Saba Kuzimu)- 56

ILIPOISHIA: Harakaharaka nikafungua mlango nikiwa ni kama siamini nilichokisikia, nikamkuta Shenaiza akihangaika kujigeuza, jambo ambalo hakuwa amelifanya kwa kipndi kirefu tangu akiwa kule hospitalini. “Shenaiza!…

SOMA ZAIDI
Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 54

ILIPOISHIA: Kwa mbali niliwaona watu kadhaa wakiwa wamevaa nguo zilizokuwa zikifanana na zile nilizovaa, lakini kila mmoja akiwa ameinamisha kichwa kuonesha kwamba yupo usingizini. Kasi…

SOMA ZAIDI


Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 53

ILIPOISHIA: Tukaanza kuulizana maana ya kile kilichofanyika mpaka tukafanikiwa kumuokoa Shamila ambapo Junaitha alianza kutufundisha mambo ambayo hakuna aliyekuwa akiyajua kati yetu, ambayo kama hujui…

SOMA ZAIDI


Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 52

ILIPOISHIA: “Chukua taulo pale kabatini ingia bafuni ukaoge,” alisema akiwa amekaa juu ya kitanda kikubwa cha kisasa akihangaika kufungua zipu ya gauni alilokuwa amevaa, nikaelekea…

SOMA ZAIDI


Kivuruge wa Tandale -01

SAA saba na dakika zake mchana, tumbo la Ashrafu lilikuwa likiunguruma kwa kusakamwa na njaa kali, aliamua kutoka ofisini kwao ndani ya Jengo la Al-…

SOMA ZAIDI

Michirizi Ya Damu – 17

ILIPOISHIA: “Sasa kazi itafanyika,” alimwambia Williams kwenye simu. “Ukikamilisha ! Nakuahidi kukupa dola milioni kumi. Huyu mpumbavu ananinyima sana usingizi,” alisema William huku akiwa na…

SOMA ZAIDI