×


Makala

Kukosa hamu ya chakula!

Sukutua na kunywa siki ya tufaha Watu wengi hujisikia kama wanaoumwa, wakiamini ni malaria, hali inayowafanya wakose hamu ya kula chochote na hata wakati mwingine…

SOMA ZAIDI


Uso kwa uso na mtoa roho!-6

ILIPOISHIA: “Tumechoshwa na uchawi hapa kijijini kwetu. Kwa pamoja tumefanikisha ujio wa mganga Mabwanji kutoka Malawi kwa lengo la kusafisha kijiji chetu. Wale wote waliokuwa…

SOMA ZAIDI

Shoga, usijiachie kivile kwa marafiki!

HABARINI za leo mashostito popote pale mlipo na ni tumaini langu kuwa mnaendelea vizuri na harakati wakati mwaka ukianza kukomaa. Ninafarijika sana kwa jinsi mnavyowasiliana…

SOMA ZAIDI

Chongo!-23

Ilipoishia wiki iliyopita Wakati watatu hao wakimaliza mazungumzo yao kwa maazimio hayo, Bata alikuwa na kikao akiwa na mpenzi wake Elina, pamoja na shemeji yake…

SOMA ZAIDIUsipige Bwana…Tuma Meseji!

Bony alikaa sebuleni kwa rafiki yake Mudy akimsikiliza kwa makini kuhusu maelezo yake ya safari yake ya Ulaya kusoma… “Kwa hiyo rafiki yangu Bony ndiyo…

SOMA ZAIDI
Bila pesa hakuna mapenzi ?

PESA ndiyo sabuni ya roho. Pesa ni kichocheo cha furaha. Ukiwa na pesa unajiamimi. Unaweza kufanya unalotaka wakati wowote. Ndiyo maana wengi wanadiriki kusema tafuta…

SOMA ZAIDI

Kwa Mwanangu Nitakayemzaa – 44

Destiny anasafiri hadi Mwanza, Kundi la WAB lilikokuwa linatarajia kufanya shambulio kwenye Hospitali ya Rufaa Bugando. Akiwa huko, amebanisha mahali fulani eneo la tukio alimuona…

SOMA ZAIDI


Jeraha Lililojeruhiwa – 05

ILIPOISHIA: “Pambano lilifanyika katika ukumbi maarufu wa Las Vegas Marekani, uwanja ulijaza kila mtu alikuwa na hamu ya kuona majigambo ya mpinzani wangu aliyejitapa kuniulia…

SOMA ZAIDI

Jinsi ya kupika rosti maini

KAMA ilivyo kawaida ya kila wiki huwa tunakutana katika safu hii ya Mahanjumati ambapo leo tunajifunza kupika maini kama wengi wenu mlivyoomba.   MAHITAJI Maini…

SOMA ZAIDI

Huyu Naye…fuata Maelekezo – 02

“Naweka baba, nisamehe sana.” “Usijali, weka.” Baba alisimama kwenye mlango wa bafuni, nikachota maji na kuingiza bafuni, wakati natoka ili yeye aingie akanishika mkono na…

SOMA ZAIDI
Ujue ugonjwa mpya wa kisonono – 2

WIKI iliyopita tuliishia katika kuzungumzia dalili ya ugonjwa wa kisonono (gono), leo tunaendelea na sehemu yetu ya pili na ya mwisho, msomaji wetu fuatilia sehemu…

SOMA ZAIDI

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-13

“We kaka Cheni, hebu sikiliza nje, kama kuna mtu anatembea,” nilimwambia. TEREMKA NAYO MWENYEWE…  “Hakuna mtu bwana…” aliniambia akisikilizia kama maneno yangu yalikuwa na ukweli…

SOMA ZAIDI

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 11

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Haa! Hutumii taulo shem?” “Sipendi kabisa mama Kisu, sijui kwa nini?” “Sasa wewe umesema huna mke, kanga unapata wapi huko nyumbani kwako?”…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online