×


Makala


Zijue faida za tikitimaji mwilini

TIKITImaji ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa wingi nchini ni tunda lenye virutubisho vingi vyenye faida kubwa katika mwili wa binadamu japokuwa asilimia 92 ya…

SOMA ZAIDI

Jini Mweusi-73

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila changudoa anayenunuliwa na mwanaume aliyekuwa…

SOMA ZAIDIJini Mweusi-72

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila changudoa anayenunuliwa na mwanaume aliyekuwa…

SOMA ZAIDI

Hatua za kuanza kujitegemea

hatua za  kuanza kujitegemea na kuachana na maisha ya kula kulala bure-2 ilipoishia wiki iliyopita; KUJIAMINI Vikwazo au shaka juu ya kuweza kumudu maisha ya…

SOMA ZAIDI

Kilichojificha mgogoro wa Zanzibar -2

Naendelea kufafanua kilichojificha katika mgogoro wa kisiasa Zanzibar: Kwa hakika, kinyume cha baadhi ya watu walivyoandika, hapakutokea mauaji ya kimbari wakati wa Mapinduzi Zanzibar Januari…

SOMA ZAIDI

Chongo!-24

UIipoishia wiki iliyopita Kauli hiyo ilimtisha Mwani, akili yake ikamrudisha nyuma na kukumbuka jinsi siku ile Bata alivyomkazia macho yule dada kiasi kwamba akili yake…

SOMA ZAIDI

Huyu naye…Fuata Maelekezo-5

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Baba Rehema sitasema. Kwa nini niseme. Si nilikwambia nina miaka mingi, kwa hiyo siwezi kusema jambo la siri na kubwa kama hili.”…

SOMA ZAIDI

Jeraha Lililojeruhiwa-6

ILIPOISHIA: Kumbe wapinzani wangu walijipanga kwa kila hali kuhakikisha napoteza pambano lile kwa njia yoyote. Aliingia na glovu maalumu zenye chuma kwa ndani ambazo walipanga…

SOMA ZAIDI

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 12

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Hapana shemeji yangu, unaonekana dhahiri una kitu kinakusonga, kuwa huru kuniambia maana tangu nilipoomba uniletee kikombe kikubwa cha plastiki cha kunywea maji…

SOMA ZAIDI

Siku zote iwe Valentine yenu

Asalaam alaikum wapenzi wasomaji wangu, bila shaka ni wazima mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu, kwa wale wagonjwa niwaombee huko mlipo Mwenyezi Mungu atawajalia….

SOMA ZAIDI

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-14

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Eti akaniambia atarudi msala huo ukipoa. Nilijaribu kulalamika nikimsihi asifanye hivyo lakini alikataa. Akasogea hadi mlangoni kwa kunyata, kisha akaufungua mlango na…

SOMA ZAIDI

spotiXtra


Global TV Online