×

Michezo

Video: Simba Yatengana na Kocha Fadlu Davids Baada ya Mwaka Mmoja

Uongozi wa Klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu, Fadlu Davids, baada ya pande zote kufikia makubaliano...

READ MORE

Majaliwa: Rais Dkt Samia Anatambua Mchango Wa Madhehebu Ya Dini Katika Kuendeleza Maarifa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua kwa dhati mchango wa madhehebu ya dini...

READ MORE

Yanga, Simba, Azam na Singida zakamilisha rekodi ya ushindi Afrika

Vilabu vya Tanzania vimeendelea kutamba kwenye michuano ya kimataifa ya Afrika baada ya Simba SC na Singida Black Stars kusajili...

READ MORE

ODDS Mpya Zimeingia – Bashiri Sasa, Jikusanyie Mpunga Mkubwa!

Jumamoi nyingine ya mwezi Septemba imefika ambapo wewe una nafasi ya kujikwapulia mpunga mkubwa. Meridianbet wanakwambia hii ndio nafasi ya...

READ MORE

“Goli la Mama” Larejea – Serikali Yatambulisha Motisha Mpya kwa Timu za Tanzania

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ametuma salamu...

READ MORE

José Mourinho Arudi Benfica kwa Kishindo

Klabu ya Benfica imechukua uamuzi mzito baada ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya...

READ MORE

Usiku wa Champions League: Odds Zimeshiba Meridianbet!

Usiku wa Ligi ya Mabingwa Ulaya unaendelea kwa mechi kali kabisa za kukupatia maokoto mengi. Nafasi ya wewe kuondoka na...

READ MORE

Kikosi cha Simba Chatua Botswana kwa Mtanange wa CAFCL

Kikosi cha Mnyama wa Afrika Mashariki, Simba SC, kimewasili nchini Botswana kwaajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi...

READ MORE

Leo Ndiyo Siku Yako ya Kupiga Mkwanja na Meridianbet!

Kama kawaida mechi za kukupatia pesa ni hizi mechi za Ligi ya Mabingwa ambapo timu kibao zitashuka dimbani hapo baadae...

READ MORE

Usiku wa Mabingwa: Bashiri, Ushinde, Shinda Maokoto!

Je unajua kuwa leo hii usiku wa Ulaya unaanza?. Timu mbalimbali kutoka Mataifa mbalimbali zinachuana vikali kusaka pointi tatu muhimu....

READ MORE

Hawa Hapa Mapilato Yanga Vs Simba leo Uwanja wa Mkapa, Kayoko Kwenye Orodha

JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kwa kasi ambapo watani hawa wa jadi wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa, leo Septemba...

READ MORE

Betway inapanua uzoefu wa Kasino kwa Kutambulisha mfululizo wa michezo yenye upekee

Dar es salaam, Tanzania – Septemba 15: Betway, Kampuni inayoongoza Duniani kwenye michezo ya kubashiri na burudani mtandaoni, inajivunia kutambulisha...

READ MORE

Folz Awaahidi Mashabiki Raha Kesho, Kapombe Atoa Onyo

Kesho macho yote yataelekezwa kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo watani wa jadi Simba SC na Young Africans SC watakutana katika...

READ MORE

Mechi Kali, Odds Nono – Bashiri na Meridianbet Sasa!

Je unajua kuwa Jumatatu ya leo imekuja kwaajili ya kukupatia ushindi?. Wikendi watu wengi wamejipigia pesa na Meridianbet wewe unangoja...

READ MORE

Betway Tunzo, Mchongo Mpya Unaowapa Wateja Sababu Zaidi Za Kucheza Na Betway

Betway, moja ya kampuni inayoongoza duniani kwenye michezo ya kubashiri, imejizatiti kuwapa wateja wake huduma mpya yenye kuvutia, kusisimua na...

READ MORE

Simbu Aandika Dhahabu ya Kwanza: Tanzania Yaingia Kwenye Historia ya Dunia

Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikikumbukwa kupitia mashujaa wake wa riadha kama Filbert Bayi, aliyewahi kuvunja rekodi ya dunia na...

READ MORE

TFF Yatangaza Viingilio Ngao ya Jamii Simba vs Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara,...

READ MORE

Ligi Kubwa Zimerudi – ODDS Moto Moto za Meridianbet Zipo Hapa!

Ligi kubwa Duniani zinatarajiwa kuendelea siku ya leo huku nafasi ya wewe kuondoka na mpunga mrefu kabisa. Baada ya mapumziko...

READ MORE

Feitoto Aongeza Mkataba Mpya Azam FC Hadi Juni 2027

Klabu ya Azam Fc imetangaza kumsainisha kiungo Faisal Salum ‘Feitoto’ nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja utakaombakisha klabuni hapo...

READ MORE

ODDS Zimeiva, Weka Dau Lako Bingwa wa FA CUP Uingereza

Huku timu kibao za Uingereza zikiendelea kutafakari nani atakuwa bingwa wa FA CUP msimu huu, tayari mabingwa wa ubashiri Tanzania...

READ MORE

Kocha Wa Simba Afunguka Simba Day 2025 “Msimu Huu Ni Wa Mataji”

Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, ametuma salamu nzito kwa mashabiki wa klabu hiyo akisisitiza kuwa msimu mpya wa...

READ MORE

Waziri Aweso Awakilisha Waziri Mkuu Katika Kilele Cha Simba Day 2025

Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, amewasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam akimuwakilisha Waziri Mkuu wa...

READ MORE

Chino Kidd Afanya Balala Simba Day Kwa Mkapa – Picha

Msanii maarufu wa Bongofleva, Chino Kidd, ameacha gumzo kwenye jukwaa la Simba Day 2025 ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa...

READ MORE

Simba Day: Upendo wa Mashabiki Wawasha Moto Mkapa

Simba Day ni tamasha maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi. Katika tamasha hilo kutakuwa na...

READ MORE

Hawa Hapa Wafungaji Bora wa Mataifa Mbalimbali Afrika

Safari ya mafanikio huanza kwa kuituma kwa kile ambacho unakifanya kwenye maisha yako ya kila siku. Hapa Afrika kuna wachezaji...

READ MORE

Father Atembea na Kiti cha Urais Azam FC, Popat na Kuwe Wapewa Umakamu

BODI ya klabu ya Azam Fc imefanya mabadiliko ya kimuundo na mfumo wa klabu hiyo yanayohusu nafasi za juu za...

READ MORE

Kuwa Milionea na Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Je unajua kuwa Jumanne ya leo unaweza ukajipatia maokoto ya maana kwenye mechi mbalimbali zinazoendelea za kufuzu Kombe la Dunia?....

READ MORE

Mechi za Moto Zipo Hapa – Odds 1000+ kwa Meridianbet!

Ni siku nyingine tena ya wewe mteja wa Meridianbet kutusua mpunga wako na wakali wa maana kwa dau lako dogo...

READ MORE

Samia: Vijana Mbeya Kunufaika na Ajira za Viwanda Vipya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mgombea urais, Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuanzisha kongani za viwanda mkoani...

READ MORE

MO Dewji Ajiondoa Uenyekiti Simba, Amteua Crescentius Magori

Mwaka mmoja tangu kuteuliwa kuongoza Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, bilionea na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (MO),...

READ MORE

Bashiri na Meridianbet Mechi za Kufuzu WC 2026

Mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 zinaendelea leo hii ambapo mechi hizi zinakupa nafasi ya kutengeneza pesa nyingi sana....

READ MORE

Simba Yamtambulisha Rasmi Wilson Nangu Kutoka JKT

Klabu ya Simba imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC na michuano ya kimataifa kwa...

READ MORE

Serikali: Simba na Yanga Zitafute Viwanja Mbadala vya Michezo

Serikali imetoa wito kwa klabu kongwe za Simba SC na Yanga SC, ambazo kwa sasa hutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa...

READ MORE

Hawa Ndio Wanaotajwa Kushuka Daraja EPL 2025/26, Odds Zao Zimechacha

Pesa nje nje ndani ya Meridianbet siku ya leo. Leo hii unaweza ukabashiri timu ambazo zinaweza kushuka daraja msimu ujao…

READ MORE

Chama Ajiunga na Singida Black Stars kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja

Kiungo mshambuliaji kutoka Zambia, Clatous Chama, amemalizana na klabu ya Singida Black Stars baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja...

READ MORE

Times FM Kutangaza Mubashara Kagame Cup, Kuanza Kesho

MSIMU mpya wa Kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa...

READ MORE

Bayer Leverkusen Yamfuta kazi Erik ten Hag Baada ya Mechi Mbili

Kocha wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, ameondolewa rasmi katika benchi la ufundi la klabu ya Ujerumani Bayer...

READ MORE

Chelsea Yavunja Ukuta Old Trafford, Yamchukua Garnacho kwa Euro Milioni 46

Klabu ya Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa winga chipukizi wa Kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, akitokea Manchester United kwa ada...

READ MORE

Jesus Moloko Ajiunga na AS Kigali Kwa Mwaka Mmoja

Mchezaji Jesus Ducapel Moloko aliyewahi kukipiga kunako klabu ya Yanga SC na AS Vita Club, amejiunga na AS Kigali kwa...

READ MORE

Morocco Mabingwa wa Afrika Mashariki CHAN 2024

HATIMAYE Pamoja CHAN 2024 imegota mwisho na mabingwa wakiwa ni Morocco baada ya kuoata ushindi katika mchezo wa fainali, Agosti...

READ MORE