×

Music Videos

Wimbo Mpya wa Dayna Nyange – Salama (Official Video)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Dyna Nyange ameachia video ya wimbo wake uitwao Salama. Kutazama video hiyo, Ingia Global App na...

READ MORE

Jux – Zaidi (Official Music Video)

MSANII wa muziki wa RNB nchini, Juma Jux, ameachia video ya wimbo wake uitwao ZAIDI. Kutazama video hiyo, Ingia Global...

READ MORE

Nikki wa Pili Ft Jux – Kanifuata (official Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na anayetoka katika kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameachia video ya wimbo wake...

READ MORE

Rich Mavoko Aachia Video Yake Mpya – Ndegele

WAKATI akiwa kwenye sintofahamu na management yake ya WCB, msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake...

READ MORE

Video Mpya: JIBEBE -Wcb wasafi ft Diamond Platnumz & Mbosso & Lavalava

WAKALI wa muziki kutoka Lebo ya WCB, Diamond Platnumz, Lava Lava na Mbosso wameachia VIDEO yao ya ngoma ya pamoja...

READ MORE

VIDEO MPYA: Nikki Mbishi X Stereo X One The Incredible – Over and Over

MARAPA wakali watatu, Nikki Mbishi, One The Incredible na Stereo (Sisi The Trio) wameachia video ya wimbo wao mpya wa...

READ MORE

Video Mpya ya Goodluck Gozbert – NIPE

MSANII wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert ameachia video ya wimbo wake mpya wa NIPE. Audio ya wimbo huu imetengenezwa...

READ MORE

Wimbo Mpya: Diamond Platnumz X Lava Lava X Mbosso – Jibebe

WAKALI wa muziki kutoka Lebo ya WCB, Diamond Platnumz, Lava Lava na Mbosso wameachia ngoma ya pamoja inayoitwa ‘Jibebe’ na...

READ MORE

YoungDareSalama – NAOA (Official Audio)

MSANII wa HipHop nchini, Young Dee, ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la NDOA, wimbo huo umekuja kuondoa stori...

READ MORE

VIDEO Mpya ya Barnaba – Tuachane Mdogo Mdogo

Msanii wa muziki Bongo, Barnaba ameachia video ya wimbo wake uitwao Tuachane Mdogo Mdogo. Kutazama video hiyo, Ingia Global App na...

READ MORE

Wimbo Mpya wa Fid Q ft. Saida Karoli – Kiberiti, Yumo Bashite na Gwajima

MKALI wa Rap, Farid Kubanda ‘Fid Q’ au Ngosha The Don ameachia ngoma yake mpya yenye jina la Kiberiti ambayo...

READ MORE

Video Mpya ya Davido – Nwa Baby

STAA kutoka kiwanda cha muziki nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke ‘Davido’ ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina...

READ MORE

Nay wa Mitego – Mwaka wa Roho Mbaya (Official Video)

RAPA maarufu Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ ambapo...

READ MORE

WIMBO MPYA: ROSTAM – PARAPANDA | OFFICIAL AUDIO

KUNDI la Hip Hopm linaoundwa na wakali wawili wa kuchana, Roma Mkatoliki na Stamina ‘ROSTAM’ wameachia audio ya wimbo wao...

READ MORE

Feza Kessy ft Dammy Krane – Simple (Official Music Video)

Msanii wa Bongo Fleva, Feza Kessy ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Simple’ ingia Global App...

READ MORE

Video Mpya: Mtanzania Anayeishi Uingereza Atoa Wimbo ‘Oh Na Na’

MSANII Mtanzania aishiye nchini Uingereza, anayejiita Bambino, ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Oh Na Na’....

READ MORE

Video Mpya: MADEE – JOKA LA KIBISA

MKONGWE kunako gemu la Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ ameachia video yake mpya ya wimbo Joka la Kibisa. Video ya...

READ MORE

Video Mpya: Rayvanny – Chombo

MSANII wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi, Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Chombo’...

READ MORE

Video Mpya: Maua X Ben Pol – Amen

  MKALI mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Maua Sama na Mwanamuziki  Bernard Paul ‘Ben Pol’, wameachia video ya wimbo...

READ MORE

Video Mpya: Chuma Kisamvu Kutoka Kwa Q-Chief

MKALI wa Voko kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Abou-bakar Katwila ‘Q Chilla’ ameachia video mpya unaojulikana kwa jina la ‘Chuma...

READ MORE

Shilole – Mchaka Mchaka (Oficial Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameachia Video ya Wimbo wake mpya ambao ameupa jina la Mchaka Mchaka, ambao...

READ MORE

Skales Ft. Harmonize – FIRE WAIST (Official Dance Video)

STAA wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Harmonize na Skales wameachia video mpya unaojulikana kwa jina la ‘Fire Waist’...

READ MORE

VIDEO MPYA: BILLNASS – LABDA

STAA wa Bongo Fleva, William Lymo ‘Bill Nas’ameachia video mpya unaojulikana kwa jina la ‘Labda’ ingia Global App na kama...

READ MORE

Video Mpya: Gnako X Marioo – Nyatu Nyatu

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, G Nako ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Nyatu Nyatu’...

READ MORE

New Video: Gift Mwamba – Uvumilivu Official Video

Japo na matatizo ila usiyape na fasi imani yako ndio nguzo majaribu yafanye mtajii simama palepale. Chini ya jua hakuna...

READ MORE

Official Video: Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari – Baila

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameachia Video ya ngoma yake iitwayo, Baila ambayo amemshirikisha Mshindi wa Tuzo za Grammy, Miri...

READ MORE

AY, Fid Q Waachia ‘Microphone’ – New Music Video

MKALI wa Hip Hop Bongo, Ambwene Yessaya ‘AY’  au Mzee wa Commercial, ameachia video ya wimbo wake mpya wa Microphone...

READ MORE

VIDEO MPYA: GIGY FT WHOZU & SANJA- KIKI NI GIGY

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la...

READ MORE

Video Mpya: Mbosso – Nadekezwa

  STAA wa Bongo Fleva, Mbwana Yussuph Kilungi ‘Maromboso’ baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Picha Yake’ ameachia...

READ MORE

Video Mpya: Dogo janja – Banana

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja  baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Wayuwayu’ sasa ameamua kuachia video ya...

READ MORE

VIDEO MPYA: WILLY PAUL AND NANDY – NJIWA

Kuwa wa kwanza kuangalia video ya wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Willy Paul na Nandy unaoitwa Njiwa ingia Global...

READ MORE

Video Mpya: Pam D – Yeyo

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ unaoitwa Yeyo ingia Global...

READ MORE

NEW SONG: BLANDINA GODFREY – UNITUMIE (OFFICIAL AUDIO)

MUIMBAJI anayechipukia katika tasnia ya nyimbo za gospel, Blandina Godfrey ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Unitumie’, hakika ni bonge la...

READ MORE

New Song: Blandina Godfrey & Enock Jonas – Nikuone (Official Audio)

MUIMBAJI anayechipukia katika tasnia ya nyimbo za gospel, Blandina Godfrey akishirikiana na kijana Enock Jonas wameachia wimbo wao mpya uitwao...

READ MORE

Video Mpya: Barnaba X Vanessa Mdee – CHAUSIKU

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa wasanii wa Bongo Fleva, Barnaba na  Vanessa Mdee unaoitwa CHAUSIKU ingia Global...

READ MORE

Walid – Namna Gani Ft Patoranking – Official Video

Msanii Walid Ali mwenye umri wa miaka 25, amezaliwa June 13 mwaka 1992 nchini Somalia mji wa Chulah Cha Bai,...

READ MORE

VIDEO ZILIZOMTAMBULISHA SAM WA UKWELI ENZI ZA UHAI WAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki usiku wa Jumatano  katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es...

READ MORE

Video Mpya: Dully Sykes – Zoom

Msanii Dully Sykes ameachia video ya wimbo wake uitwao Zoom, video imeongozwa na Joowzey.

READ MORE