Coastal Yajitosa Kwa Dida

WAKATI Usajili ukiendelea inadaiwa kuwa Klabu ya Coastal Union ya Tanga inajaribu kutupa karata zake kwa aliyekuwa kipa wa Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ ambaye kwa sasa ni mchezaji huru.

 

Dida Amemaliza mkataba na Simba ambayo amejiunga nayo kwa msimu mmoja pekee na kwa sasa ni mchezaji huru.

 

Hata hivyo, Coastal kwa sasa inadaiwa ipo kwenye mpango wa kutaka kumnasa kipa huyo endapo mambo yatakwenda sawa.

MAJERUHI WA AZAM HOI KITANDANI AZUNGUMZA – VIDEO

Loading...

Toa comment