MSANII wa muziki hip hop kutoka Tiptop Connection, Dogo Janja, ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake inayoitwa Utavaaje? amefunguka mengi juu ya ngoma yake ya kitambo kidogo inayoitwa Binadamu aliyomshirikisha PNC Shino kwamba mwimbaji Darassa amehusika kuandika ngoma hiyo ya Binadamu.
Darassa ameshiriki sehemu kubwa kwenye ngoma hiyo ambayo Dogo Janja alikuwa katika usimamizi mpya wa Watanashati kwani hata anavyoimba hiyo ngoma ni kama Darassa kabisa.
Alivyoulizwa na Dullah wa kipindi cha Planet Bongo cha kituo cha televisheni cha EATV kuhusu aliyeiandika ngoma hiyo, alisema Darassa alihusika kwenye uandishi wake kwa aslimia 80.
(HABARI NA SAMSON JEREMIAH / GPL)
[…] June 13, 2017 | Darassa Kaniandikia Wimbo wa Binadamu – Dogo Janja […]
[…] June 13, 2017 | Darassa Kaniandikia Wimbo wa Binadamu – Dogo Janja […]
[…] June 13, 2017 | Darassa Kaniandikia Wimbo wa Binadamu – Dogo Janja […]