The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: MOBETO Amempa MHE JOKATE Laki 5 – Video

 

 

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo (katikati) akimsikiliza mwanamitindo, Hamisa Mobeto.

MWANAMITINDO Hamisa Mobeto amejitokeza Wilayani Kisarawe kumuunga mkono Mkuu wa Wilaya hiyo Jokate Mwegelo kwenye kampeni yake ya ‘Tokomeza Zero’ iliyofanyika ndani ya Shule ya Sekondari ya Minaki.

Moja kati ya watu waliojitokeza kumuunga mkono, DC Jokate, ni Mwanamitindo, Hamisa Mobeto, ambaye amechangia Shilingi laki tano, Mwanamuziki Malaika pamoja na watu wengine.

Msanii wa Bongo Fleva Malaika (katikati) akiwa na Hamisa Mobeto.

PICHA: MUSA MATEJA | GPL

EXCLUSIVE: MOBETO Amempa MHE JOKATE Laki 5!

Comments are closed.