
Gari Dogo limeigonga Garimoshi lililokuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora.
Ajali hiyo imetokea leo Januari 8, 2020 katika eneo la Vigunguti majira ya Saa 2:00 asubuhi ambapo Dereva wa gari dogo amekimbizwa hospitalini kwa matibabu. Taarifa zaidi tunangoja kutoka mamlaka usika.