HIVI NDIVYO RAYVANNY ANAVYOMUONA FAHYMA

Mwanamuziki mahiri kutoka Kundi la WCB, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amesema kuwa mpenzi wake ambaye pia amezaa naye motto mmoja Fahyma, amekuwa kama taa kwake kutokana na uzuri alionao.

 

Akizungumza na Za Motomoto, Rayvanny alisema anajiona ni mwanaume mwenye bahati kuwa na msichana mrembo kama mpenzi wake huyo na ni mwanamke ambaye anampenda sana. “Kwa kweli mimi mwenyewe Fahy

(Fahyma) nikimuangalia nasikia raha sana, anakuwa kama taa kwangu na sio kwangu hata kwa watu wengine wananiambia nina kifaa cha nguvu kabisa,” alisema Rayvanny.

Loading...

Toa comment