The House of Favourite Newspapers

Kichanga Chakutwa Kimetupwa Mtoni – Video

0

UNYAMA! MWILI wa mtoto mchanga umekutwa ukielea juu ya maji katika ukingo wa mto eneo la Tandale Chama jijini asubuhi ya leo.

Inadaiwa kuwa mama wa mtoto huyo (ambaye hajafahamika mara moja) ndiye anayedaiwa kutenda tukio hilo ambapo baada ya kujifungua alikwenda kukitupa kichanga chake katika ukingo wa mto huo na kuelekea kusikojulikana huku chanzo cha kufanya hivyo kikiwa hakijajulikana bado.

Wasamalia wema waliokuwa wakipita kwenye daraja lililo karibu na mto huo ndio walimuona mtoto huyo na kwenda kumuokoa haraka lakini tayari walikuta ameshafariki dunia.

Taarifa Zaidi tunazifuatilia, tutakujuza.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply