Kipindi ‘Katambuga’ cha Global Radio Chazinduliwa Rasmi

MOJA ya vipindi bora kabisa vya redioni hapa Tanzania, kipindi cha KATAMBUGA kinachoruka hewani kupitia Radio ya mtandaoni nambari moja Tanzania +255 Global Radio, kimezinduliwa rasmi leo katika ofisi za Makampuni ya Global zilizopo Sinza-Mori, Dar es Salaam. Katambuga ni kipindi  kilichojikita katika maudhui ya kijamii, matukio, maisha na hekaheka za mtaani, pia kinajihusisha na … Continue reading Kipindi ‘Katambuga’ cha Global Radio Chazinduliwa Rasmi