Kipingu Ataja Kinachoua Vipaji Vya Michezo, ”Watoto Wanakaririsha Wapate Division 1 Hawachezi”- Video
Mdau mkubwa wa michezo nchini aliyefanikiwa kuibua na kukuza vipaji kibao, Kanali Mstaafu Idd Kipingu amefunguka kuhusu sababu zinazofanya kuwe na vipaji vichache va michezo nchini tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Unakubaliana naye kwa asilimia ngapi? Weka comment yako hapo chini.