Kocha mpya wa Simba, Pablo Franco Martine amewasili nchini Tanzania leo saa 4:00 asubuhi akitokea kwao Hispania kupitia Dubai-Zanzibar kisha Dar es Salaam.