The House of Favourite Newspapers

Video; Mstaafu Kikwete anashiriki Kumbukumbu ya Kifo cha Baba Mzazi wa Nape Nnauye.

0

 

MSTAAFU KIKWETE ANASHIRIKI KUMBUKUMBU ya KIFO CHA BABA MZAZI WA NAPE NNAUYE.. LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, anayefahamika kwa jina la mzee Moses Nnauye..

Leave A Reply