The House of Favourite Newspapers

FT: RUVU SHOOTING 0-1 YANGA, KUTOKA UWANJA WA TAIFA

Kiungo mahiri wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi (kushoto) akifanya yake na wachezaji wa Ruvu Shooting.

MPIRA UMEKWISHA DAKIKA YA 93

SUB Dk 81 Abdulrahman Mussa anakwenda nje Hamisi Mcha anachukua nafasi yake
Dk 80, Yanga wanacheza kindava nje kidogo ya nje ya lango lao. Inachongwa faulo, shuti kali linapigwa, goal kick
Dk 78, Bofu anageuka vizuri, anapiga krosi safi, al manusura iingia nyavuni

Dk 73, Ruvu wanapata kona hapa, inachongwa vizuri, Kanduru anaachia mkwaju, goal kick
Dk 71, Dante yuko chini baada ya kusukumwa na Kanduru

Tambwe akiwa kaweka mtu kati.

DK 88, krosi safi ya Martin, Mahadhi yeye na nyavu, anapaishaa puuuuuu

SUB Dk 86 Daud anakwenda benchi na nafasi yake inachukuliwa na Pato Ngonyani, Yanga wakiimarisha ulinzi
SUB Dk 81 Abdulrahman Mussa anakwenda nje Hamisi Mcha anachukua nafasi yake
Dk 80, Yanga wanacheza kindava nje kidogo ya nje ya lango lao. Inachongwa faulo, shuti kali linapigwa, goal kick

SUB Dk 70 Buswita analambwa kadi ya njano baada ya kuchomekea mguu Zahiri
SUB Dk 68 Tambwe anakwenda benchi upande wa Yanga, nafasi yake inachukuliwa na Juma Mahadhi
KADI D 67, Mwamuzi anatoa kadi kwa Damas Mwakwaya baada ya kumsukuma Ajibu na mashabiki Yanga kulalamika

Dk 59, krosi nzuri ya Abdurahman Mussa lakini wenzake wanachelewa na mpira unakuwa goal kick
KADI Dk 56, Dante analambwa kadi ya njano kwa kucheza kibabe dhidi ya Kanduru
Dk 53, Shooting wanaingia vizuri kabisa, lakini Amani anapaisha juuuu

Dk 50 kipindi cha pili kinaonekana kuwa na presha zaidi, ndani ya dakika 5, mashambulizi mawili kila upande
DK 47, nafasi nzuri kwa JKT lakini hawako makini
Dk 45 Yanga wanaanza kwa kasi na kuingia kwenye lango la Ru

MAPUMZIKO
GOOOOOOOOOOOOO Buswita anaruka juu na kuunganisha krosi nzuri ya Ajibu
-Kanuduru yeye na kipa, lakini anapaisha juuuuuuuuuuDAKIKA 3 ZA NYONGEZA

Dk 45 Mussa anaachia mkwaju mwingine mkali tena hapa, Youthe anadaka
Dk 43, Ajibu anaingiza mkwaju vizuri kabisa lakini Zahiri anaokoa na kuwa kona. Inachongwa na Ajibu lakini fauloo
Dk 40 hadi sasa hakuna shambulizi kali kutoka upande wowote na mchezo

Dk 43, Ajibu anaingiza mkwaju vizuri kabisa lakini Zahiri anaokoa na kuwa kona. Inachongwa na Ajibu lakini fauloo
Dk 40 hadi sasa hakuna shambulizi kali kutoka upande wowote na mchezo umepoooza
Dk 39, Kitala yuko chini akitibiwa baada ya kugongana na Kessy

Dk 36 Abdulrahman anaanguka ndani ya eneo la 18, mwamuzi anamuambia “acha zako”, kazi inaendelea

Dk 34, Ajibu nje ya 18, anajaribu mkwaju hapa lakini unaonekana hauna macho
Dk 31, Rostand anaruka juu na kuiwahi krosi nzuri ya Amani katikati ya goli lake
Dk 28 Ajibu anachonga kona fupi, Mwinyi anaunganisha krosi safi, Tambwe anaipiga lakini kipa anafanya kazi ya ziada kuukoa
Dk 27 Krosi safi ya Kessy, Amani anaruka juu na kuugusa na kuwa kona ya kwanza ya Yanga
Dk 27, mpira wa kwanza, Martin anaachia mkwaju hapa kipa anadaka
SUB Dk 26, Nkomola anakwenda benchi na nafasi yake inachukuliwa na Emmanuel Martin
Dk 25 Abdulrahman Mussa, anaachia mkwaju mkali ndani ya 18 lakini anapaisha juuu

Dk 24, Damas Makwaya anamlamba ngwara Tambwe hapa, mwamuzi anatoa onyo la mdomo

Dakika ya 16, Raphael anaingia vizuri na kuachia shuti kali hapa, goal kick
Dakika ya 14, Bofu anamuweka chini Nkomola, yuko anatibiwa nje
Dakika  10 sasa, mpira zaidi bado unachezwa katikati ya uwanja na hakuna mashambulizi kamali

Dakika 10 sasa, mpira zaidi bado unachezwa katikati ya uwanja na hakuna mashambulizi kamali
Dakika 7, Kanduru anajaribu kuingia upande wa kushoto lakini krosi yake dhaifu kabisa

Dakika ya 5: Ruvu wanapata kona, inapigwa lakini inaokolewa.

Dakika ya 3: Timu zote bado zinasoma.

Mchezo umeanza.

Huu ni mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom unaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Ruvu Shooting ya Pwani inapigana na Yanga ya Dar es Salaam.

(PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)

Comments are closed.