The House of Favourite Newspapers

LIVE: Waziri Mkuu Atembelea Kiwanda cha NIDA, Tabata

0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha NIDA na kuwapongeza wawekezaji pamoja na wafanyakazi kwa kujitokeza kwa wingi na kuongeza kuwa tatizo la ajira litazidi kutatuliwa kwa ongezeko la uwekezaji katika viwanda.

Majalaiwa ameahidi kusimamia utendaji wa viwanda akiwa kama mtendaji mkuu wa serikali kwa kushirikiana na mawaziri wenzake.

Kiongozi huyo mkuu wa nchi amesema ongezeko la viwanda litasaidia kuongeza nafasi za ajira hata vijana ambao hawajasoma.

MSIKIKIE PM MAJALIWA AKIZUNGUMZA WAKATI ALIPOKAGUA KIWANDA HICHO

 

Leave A Reply