The House of Favourite Newspapers

MAHAKAMA TANZANIA KWENDA LIKIZO WIKI HII HADI MWAKANI

Mahakama ya Tanzania imetangaza likizo ya kimahakama itakayoanza Jumamosi hii, Desemba 15, 2018 hadi Januari 31, 2019 ambapo katika kipindi hicho Mahakama Kuu, Mahakama za Hakimu Mkazi na Mahakama za Wilaya haitashughulika na kesi zozote isipokuwa kesi zenye udharura pekee.

Amber Rutty Alivyotinga Mahakamani na Mchungaji!

Comments are closed.