Ni leo Alhamisi, Machi 2, saa 10:00 jioni.
-Wachambuzi mahiri wa mchezo wa soka wakiongozwa na Mhariri wa Gazeti la Championi, Saleh Ally watakuwa wakiuzungumzia mzozo wa wachezaji wa Klabu ya Yanga, Donald Ngoma na Vicent Bossou ambao wako kwenye msuguano na uongozi wao.
-Bossou anadai kwamba hajalipwa mshahara wa miezi minne ndiyo maana hakucheza mechi dhidi Simba Jumamosi iliyopia.
-Ngoma anadai kuwa anasumbuliwa na majeraha ya goti wakati daktari aliyekuwa akimtibu anadai kuwa mchezaji huyo haumwi, ni muongo.
Usipitwe na Mjadala huo MUBASHARA saa 10:00 leo Jioni kupitia YouTube Channel ya Global TV Online pekee.
Ili kutazama mjadala huo LIVE, Subscribe YouTube ya Global TV Online