The House of Favourite Newspapers

MAJALIWA AZINDUA MADARASA SEKONDARI YA NYEHUNGE, SENGEREMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitanda katika Bweni  la Shule ya Sekondari Nyehunge lililopewa jina la Dkt. John Pombe Magufuli,  wilayani Sengerema leo  Februari 15, 2018. 

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua madarasa ya Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema Februari 15, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, Watatu kushoto ni Waziri wa Kilimo na Mbunge wa Buchosa, Dkt. Charles Tizeba na wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Anthony Diallo. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua moja ya darasa  wakati alipozindua madarasa ya Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Comments are closed.