The House of Favourite Newspapers

Makonda, Ruge, Jukwaa la Wahariri Wazungumza na Wanahabari

0

KUFUATIA sakata la Vyombo vya Habari kusuia kuandika habari zinazomhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda miezi kadhaa sasa kwa sababu ya kuvamia ofisi za Clouds Media, leo Mkuu huyo, Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Mkurugenziwa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba walikutana kuzungumza na wanahabari kwa lengo la kumaliza mgogoro huo.

Na haya ndiyo yaliyiojiri.

Leave A Reply