MAN FONGO Afunguka: “Khaa Eti NIMEBAKA, Sholo Mwamba Hana Jipya” – Video

 

Kufuatia kusambaa kwa taarifa zinazodai kuwa mwanamuziki wa Singeli nchini, Man Fongo, amebaka na kuhukumiwa jela miaka 30, hatimaye msanii huyo ameamua kuvunja ukimya na kufunguka kilichotokea.

VIDEO: MSIKIE MAN FONGO AKIFUNGUKA

Loading...

Toa comment