×

VIDEO: Mtoto Nillan wa Diamond Platinumz Alivyomwagiwa Minoti Kwenye 40 Yake – Madale

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Diamond Platnumz, leo amemfanyia sherehe ya arobaini mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika nyumbani kwao, Madale jijini Dar es Salaam.

Mtoto Nillan amezawadiwa mitoti ya pesa wakati wa hafla hiyo.

 

Kwa stori zote kali, Tu-follow

Facebook @Globalpublishers

Twitter @GlobalHabari

Instagram @GlobalPublishers

YouTube @GlobalTVTZ

CHEKI VIDEO CHINI