
Maua Sama, leo amewathibitishia wapenzi wa burudani kwa kufanya shoo ya nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar usiku wa kuamkia mwaka mpya 2019.


Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo.

PICHA NA RICHRD BUKOS | GPL