×

Mbunge Amwaga Machozi Bungeni, “Waziri Usikanyage Mtwara” – VIDEO

Mbunge wa Tandahimba, Katani Hamad Katan, amewaga machozi wakati akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango.