Misri: Amunike Apitisha ‘Panga’ Taifa Stars, Awatema Mastaa 9

BENCHI la Ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) likiongozwa na Kocha Mkuu, Emmanul Amunike, raia wa Nigeria limefanya mchujo wa kikosi cha wachezaji watakaoshiriki michuano ya AFCON 2019 nchini Misri kutoka achezaji 32 hadi achezaji 23 huku wachezaji 9 wakitemwa.

 

Wakiwa Misri Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti watacheza michezo miwili ya Kirafiki na Misri, kesho Juni 13, 2019 na Zimbabwe, Juni 16,2019.

 

Kikosi hicho ni hiki.

Makipa
Metacha Mnata (Mbao)
Aishi Manula (Simba SC)
Aron Kalambo (Tz Prisons)

Mabeki
Kelvin Yondani (Yanga)
Hassan Kessy (Nkana, Zambia)
Vicent Philipo (Mbao)
Gadiel Michael (Yanga)
Mohamed Hussein (Simba)
Ally Mtoni(Lipuli)
Erasto Nyoni (Simba)
Agrey Moris (Azam)

Viungo
Feisal Salum (Yanga)
Mudathir Yahya (Azam)
Frank Domayo (Azam)
Himid Mao (Petrojet, Misri)

Yahya Zayd (Ismaily, Misri)

Farid Mussa (Tenerife, Hispania)

 

Washambuliaji
Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji)
Simon Msuva (Difaa El Jadid, Morocco)
Abdilahie Abdallah Mussa (Blackpool, England)
Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria)
John Bocco (Simba)
Rashid Mandawa (BDF XI,Botswana)

 

Walioachwa.

Seleman Salula (Malindi)

Claryo Boniface (U20)

David Mwantika (Azam)

Fred Tangalu (Lipuli)

Shiza Kichuya (ENPPI, Misri)

Miraji Athumani (Lipuli)

Kelvin John (U17)

Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini)

Shaban Chilunda (Tenerife, Hispania)


Loading...

Toa comment