Mke wa Mwandishi wa Habari wa Mwananchi Azory Gwanda, aliyepotea kwa zaidi ya miezi sita sasa, amegusa mioyo ya watu wengi baada ya kuongea kwa uchungu huku akilia alipokuwa akielezea jinsi mumewe alivyopotea na kumuacha na ujauzito wa miezi sita.
Mke wa Azory alizungumza maneno hayo baada ya kupokea tuzo ya mumewe ya Mwandishi bora na kupewa hundi ya pesa taslim Shilingi Milioni kumi.
Comments are closed.