The House of Favourite Newspapers

MKEO SIKUMWITA, ALIKOSEA MLANGO

0

MKEO SIKUMWITA

VYOMBO vimetupwa nje na baba mwenye nyumba. Si kwamba eti sijalipa kodi, la hasha! Ni sababu ndogo ya kipuuzi imepelekea yote haya. chondechonde baba mwenye nyumba, mkeo sikumwita.

 

Saa nane usiku nikiwa nimelala katika kitanda changu cha kunesa, mke wa baba mwenye nyumba alitoka ndani na kuelekea msalani ili kushughulika na haja ndogo. Wakati anarudi chumbani kwake, kwa sababu ya usingizi mzito aliokuwa nao, akakosea mlango, badala ya kuingia katika chumba chake, akaingia chumbani kwangu. Kumbe nilisahau kufunga mlango! Ukawa mwanzo wa matatizo.

 

Alipoingia nini kilitokea?

Hakikutokea chochote. Nilikuwa naelea katika bahari ya usingizi kwa sababu ya uchovu wa shughuli za kutwa nzima. Hata ujio wake sikuutambua.

MKEO SIKUMWITA

Yeye alipongia, kwa sababu ya kuzidiwa na usingizi kama nilivyosema awali, hakugundua tofauti ya chumba changu na cha mumewe. Akajilaza kama mzigo. Tukalala bila kutambuana.

 

Chumbani kwa mumewe

Mumewe ambaye ndiye baba mwenye nyumba, alishtuka saa tisa usiku. Akapapasa kitanda kizima asimuone mkewe… SOMA ZAIDI

Leave A Reply