Mshindi wa Kampeni ya Ni Balaa Akabidhiwa Hundi ya Sh. Milioni 20
Abdulfadhili Birro ameibuka mshindi wa donge nono la shilingi milioni 20 kupitia Kampeni ya Ni Balaa! Kila Mtu Ni Mshindi.
Pamoja na kiasi hicho cha pesa, mshindi huyo atapata nafasi ya kuchagua shule ya msingi itakayoboreshewa mazingira ya kusomea (maktaba) ili kuwawezesha wanafunzi wa shule hiyo kusoma kwa utulivu.