The House of Favourite Newspapers

MWAKAJOKA: Hali ni Mbaya Sana, Watu Wanakufa – VIDEO

Mbunge wa CHADEMA katika jimbo la Tunduma, mkoani Songwe, Frank Mwakajoka, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, amesema hali ya miundombinu ya maji ni mbaya nchi nzima huku akidai katika jimbo lake wananchi wamekuwa wakifa kwa ugonjwa wa Typhoid kutokana na kukosa maji safi.

 

MSIKIE HAPA MWAKAJOKA AKIFUNGUKA

Comments are closed.