The House of Favourite Newspapers

Mwijaku Aibukia kwa Mkewe

ACHANA na maneno ya picha chafu za Meninah, msanii Burton Mwamba ‘Mwijaku’ ameibuka na kumfagilia mke wake kuwa ana akili sana na ni muelewa.

 

Mwijaku aliiambia Za Motomoto ya Risasi kuwa, hataki kuzungumza chochote bali anamshukuru sana Mungu kwa kumpa mke mwenye akili nyingi.

 

“Najua watu wanajua mke wangu kaniacha, sitaki kuzungumza mengi ila nina mke. Yaani ameshushwa kwa ajili yangu na ana akili nyingi, nampenda mno,” alisema Mwijaku.

Comments are closed.