
Itulahumba Sekondari School inawatangazia nafasi za Masomo kwa kidato cha kwanza (form 1) 2022.
Tumekuwa na Matokeo Mazuri kidato cha NNE kila Mara tazama matokeo haya kwa mwaka 2019 & 2020
Matokeo kidato cha NNE Itulahumba secondary 2020>>>
Hakika ni furaha yetu kuhakikisha mwanao anafaulu vizuri na kuendelea na elimu ya Juu!
Matokeo kidato cha NNE Itulahumba secondary 2019>>>
Kwa sasa Shule inakutangazia mzazi au mlezi nafasi za masomo kidato cha kwanza 2022 na Usahili unafanyika kila jumatatu ya juma na kufuatiwa na kozi fupi ya pre_form1 itakayoanza 04.10.2021. Kwa wahitimu wa darasa la Saba mwaka 2021 pekee.
HUDUMA ZETU
➡Shule ni ya bweni kwa wasichana na wavulana.
➡Shule ina mandhari mazuri ya kujisomea na kujifunzia.
➡Walimu waliobobea kwa masomo yote. Shule inamkuza mwanafunzi kiroho na kiakili.
SHULE ILIPO
Shule ipo kijiji na kata ya Itulahumba. Kwa wanaotoka barabara ya Makambako-Njombe kibao kipo upande wa kulia na wale wanaotoka barabara ya Njombe-Makambako, kibao kipo upande wa kushoto.
Ada ni nafuu sana na inalipwa kwa awamu.
Fomu zinapatikana shuleni Itulahumba, Amani English Medium Pr. School-Njombe, Kanisa la TPC Wangama na Magoma Stationary Makambako.
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE KWA NAMBA ZIFUATAZO:
0769200670
0769000540
0769864002
0769368843
Wahi sasa kupata nafasi ya mwanao kwa ajili ya kupata elimu bora,
“TUMEAMINIWA KUTIMIZA NDOTO ZA WATOTO WA TAIFA HILI”